Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,630
- 1,945
Habari wana jamvi. Wengine watanishangaa lakini acha niwaambie Bonite Bottlers kuwa kitendo chao cha kupaki maji yao kwenye makaratsi ya nailoni kimedhoofisha kabisa soko la maji hayo.
Sasa yanaonekana kama yale mengine ya kawaida. Aliyewashauri amewadanaganya sana. Kama mlikuwa hamtambui ubora wa product yenu ilikuwa inachangiwa na packaging tambueni sasa.
Mm ni mpenzi wa hayo maji, nilivyoona yamepakiwa hovyo namna ile nikapata kichefuchefu.Tz bana.