mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
- Thread starter
- #201
Kwao ardhi ni ndogo, ukuaji wa population utaleta changamoto miaka ya baadae na ardhi imekua moja ya chanzo cha vita katika jamii mbalimbali. Kuingia kwao sio bahati mbayaMisijui mkuu...
Lakini wapo na mifygo yao ng'ombe wa kinyankole huko Kasulu, Kibondo, Nyakitonto, Mtabila, Mwese, Urambo, Bukoli na kadhalika