BONTA katoa MATUSI

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
11,125
Reaction score
7,373
ni yule mkali wa hiphop ya ukweli BONTA A.K.A maarifa,mkali huyu utumia lugha yenye kufikilisha kwenye tungo zake,hakika hana mpinzani kwa sasa..ametoa ngoma mpya inaitwa MATUSI..
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
Kwa hli bro omba msamaha umeharibu et mistar yako ina thaman kuliko bikira ya maria hii cio ki2 kizur
[/FONT]
 
kuna mstari kawaita'ngamia wa kijani na njano' pia kalalamikia kuuza wanyama wetu ulaya.big up bonta we mkale.
 
amekulipa tsh ngapi kuja kuweka hii thread hapa??
 
ni yule mkali wa hiphop ya ukweli BONTA A.K.A maarifa,mkali huyu utumia lugha yenye kufikilisha kwenye tungo zake,hakika hana mpinzani kwa sasa..ametoa ngoma mpya inaitwa MATUSI..

hana mpinzani labda kwa mromboo au matejoo..........
 
kuna mstari kawaita'ngamia wa kijani na njano' pia kalalamikia kuuza wanyama wetu ulaya.big up bonta we mkale.
arifu nafikiri una matatizo kidogo kwenye uuelea wako....heading umesema katoa matusi..afu then tena..great sinker wa jf aisee
 
Mi mwenyewe simfahamu!! promo nyigine bhana.kha!
MP.

Huyo dogo kapinda, nimesikia clouds wakimjadili asubuhi kwenye pb kuna utenzi Bonta kajisifu anasema " tungo zake zimebarikiwa na Allah ...zina hadhi zaidi ya bikira ya Maria" . Sasa Bonta akahojiwa kwa nini anawakashifu wakatoliki kwa kulitaja jina la Maria kwa namna ya upuuzi ..akatoa ufafanuzi eti alikuwa anamaanisha Maria Stopes ... Yaani ni mpuuzi aliyevuka kikomo. Mimi sijakubali utetezi wake.. He is just a STUPID IDIOT.
 
Kwa hli bro omba msamaha umeharibu et mistar yako ina thaman kuliko bikira ya maria hii cio ki2 kizur
 
Amini nawaambieni km hatujamwimbia "niagieni niagieni" muda si mrefu, mtaninukuu
 
hebu elezeni vizuri!!
What happened!

C kwenye huo wimbo wake wa matusi kuna mstar unasema"mistar yangu ina thaman kuliko bikira ya maria"alafu alvyoambiwa ajieleze kwenye power breakfast ya clouds akaanza kuelezea mambo ya marie stoppers hakuna cha maana alichosema
 
C kwenye huo wimbo wake wa matusi kuna mstar unase"mistar yangu ina thaman kuliko bikira ya maria"alafu alvyoambiwa ajieleze kwenye power breakfast ya clouds akaanza kuelezea mambo ya marie stoppers hakuna cha maana alichosema

bullshit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…