BONTA katoa MATUSI

BONTA katoa MATUSI

umeusikiliza huo wimbo au unafuata mkumbo????title yake ni MATUSI ila alichoongelea si matusi!!usifate mkumbo kama VINEGA kwa SUGU

ishu ni bikra ya maria,sio jina la wimbo 'matusi' jamaa kazingua..
 
niaje guys, mi naona jamaa kafanya makosa ya kawaida tu, personal errors, so it can not harm the whole message

Hakuna makosa, alikusudia. Hiyo si freestyle ni wimbo. Katunga mashairi, kawachania wenzake, kapewa beat, kafanya mazoezi na akarekodi. Kama hakukusudia angeligundua mapema. Pengine ni mbinu yake ya kupata attention kama alichofanya Nicki Minaj
 
jamani mi mbona mi sielewe huyo bonta ndo nani na alitukana vip
 
Angebadili jina tu....... Atoe hiyo aweke hata Jackline au Asha. Kwangu mimi issue si hiyo kitu bali jina lililotumika
 
Bönta namkumbuka akiwa siha sec anaiba ndoo zote walizokuja nazo form one kuuza street!
 
kwa hilo mmmh, kapitiliza,
hata wote wanaohusika kwa kutengeneza hilo,
wamepitiliza.
 
Jamaa kapost kwenye wall ya dj choka facebook mi binafs yangu cjaridhka anatakiwa aombe na redion
 
Jamaa kapost kwenye wall ya dj choka facebook mi binafs yangu cjaridhka anatakiwa aombe na redion
Visread vya kichovu kama hivi ndivyo vinavyonifanya nisipite kabisa jukwaa hili, ameomba msamaha alifanya nini? na huyo bonta ni nani au anafanya kazi gani? au dogo unadhani wote wanaotumia JF wanaishi Manzese kwamba kitu ukisikia wewe basi wote wanakijuwa!! nyambafu.
 
Heri yako wewe unayekaa sehem za matajir afu registration form ya jf haina physical addres afu cio kila k2 unajua ndo maana upo jf and jiheshmu huwez comment bla ku2kana
 
Heri yako wewe unayekaa sehem za matajir afu registration form ya jf haina physical addres afu cio kila k2 unajua ndo maana upo jf and jiheshmu huwez comment bla ku2kana
Kwahiyo huu ndio ufafanuzi wako kwamba huyo Bonta wako ameomba msamaha kwa kosa gani!! na je Bonta ni nani na anafanya nini?
 
nikisemaa kama nongeaaa matusi......
nikiwajibu kama na fanyaa matusi.....
 
Back
Top Bottom