BONTA katoa MATUSI

BONTA katoa MATUSI

Visread vya kichovu kama hivi ndivyo vinavyonifanya nisipite kabisa jukwaa hili, ameomba msamaha alifanya nini? na huyo bonta ni nani au anafanya kazi gani? au dogo unadhani wote wanaotumia JF wanaishi Manzese kwamba kitu ukisikia wewe basi wote wanakijuwa!! nyambafu.

punguza hasira mkuu kutukana ndo kujifunza....Bonta ni msanii wa bongo fleva so kuna wimbo ametoa mda sio mrefu ametudisi wakatoliki eti kasema mistari yake inathamani kuliko bikira ya maria ndo watu wakamlaum sana ndio jamaa kaomba radhi kwenye wall yake....wakati huo awali wakati anahojiwa clausa alisema yeye alimanisha maria ya gani sijui.
 
duh sioni haja ya watu kuwa wakali, kina maria wako wengi tu mtaani! Hamna sehem yeyote alipomzungumzia mama wa Yesu! Hiz ni dalili za siasa kali
 
Hapa nimekuelewa, na hii thread kama ingekuwa ina maelezo yanayojitosheleza kama haya wala hapawezi kuwa na Maswali.
Ok hiyo nyimbo kama inakashifu imani za watu ni kwa nini inapigwa redioni? mimi nadhani na hao wenye redio station ambao wanapiga nyimbo hiyo wanapaswa kuwaomba radhi wakristo.
Ni kwa nini wasanii wanapenda kuchezea kanisa na ukristo na kamwe sio uislamu!!??
 
Visread vya kichovu kama hivi ndivyo vinavyonifanya nisipite kabisa jukwaa hili, ameomba msamaha alifanya nini? na huyo bonta ni nani au anafanya kazi gani? au dogo unadhani wote wanaotumia JF wanaishi Manzese kwamba kitu ukisikia wewe basi wote wanakijuwa!! nyambafu.
JF imekusanya wengi hata wanaoishi maisha mazuri kwa MANENO wapo.
Unajifanya unajuwa kumbe hujui! Kama ungekuwa mpitia thread mzuri ungeshajuwa Bonta ni nani na kafanya nini...
 
Jamaa kapost kwenye wall ya dj choka facebook mi binafs yangu cjaridhka anatakiwa aombe na redion

Nasikiaga kuna 5W+H yaani what, where, who, why, when + how!

Kwa thread yako naona ni who na what tu ndo zimejibu nyingine zote nimebaki njia panda!

My take: habari yako haina mashiko haijakamilika! Nenda edit uanze 1.
 
JF imekusanya wengi hata wanaoishi maisha mazuri kwa MANENO wapo.
Unajifanya unajuwa kumbe hujui! Kama ungekuwa mpitia thread mzuri ungeshajuwa Bonta ni nani na kafanya nini...
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa, mimi Bonta nitamjulia wapi? kama angekuwa amearchive lolote kwenye music industry ningemjuwa automaticaly, yaani wewe unataka mimi niwe nasoma kila thread humu JF!!?? Hivi unafikiri sawa sawa kweli wewe?
 
Hapa nimekuelewa, na hii thread kama ingekuwa ina maelezo yanayojitosheleza kama haya wala hapawezi kuwa na Maswali.
Ok hiyo nyimbo kama inakashifu imani za watu ni kwa nini inapigwa redioni? mimi nadhani na hao wenye redio station ambao wanapiga nyimbo hiyo wanapaswa kuwaomba radhi wakristo.
Ni kwa nini wasanii wanapenda kuchezea kanisa na ukristo na kamwe sio uislamu!!??
Si kweli... Mbona JCB naye aliwachefua waislam na aliomba msamaha!? Acha uchochezi
 
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa, mimi Bonta nitamjulia wapi? kama angekuwa amearchive lolote kwenye music industry ningemjuwa automaticaly, yaani wewe unataka mimi niwe nasoma kila thread humu JF!!?? Hivi unafikiri sawa sawa kweli wewe?
Kwani... Kila unayemfahamu ame-achieve chochote? Tatizo lako U-HOVYO wa mtu unaupima kwa kiasi gani mtu huyo kakukosoa
 
Bönta namkumbuka akiwa siha sec anaiba ndoo zote walizokuja nazo form one kuuza street!
acha uongo mwana kama ni siha bonta mi nilikuwa nae class moja na hakuwa na hizo issue za wizi acha kumchafua mwana kama sio mpango we ndo ulikuwa mwizo wa kahawa paka babu ng'unda akakukamataga nakujua sana wewe!
 
duh sioni haja ya watu kuwa wakali, kina maria wako wengi tu mtaani! Hamna sehem yeyote alipomzungumzia mama wa Yesu! Hiz ni dalili za siasa kali

Angeimba Maria wala tusingelalama, lakini Bikira Maria ni utovu wa nidhamu na uchokozi kwa imani za watu bila sababu..na kama ana akili timamu ni bora angekiri kosa na kuondoa huo mstari katika wimbo wake..!
 
angewatukana waislam ndo angejua kilichomtoa kanga manyoya...
 
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa, mimi Bonta nitamjulia wapi? kama angekuwa amearchive lolote kwenye music industry ningemjuwa automaticaly, yaani wewe unataka mimi niwe nasoma kila thread humu JF!!?? Hivi unafikiri sawa sawa kweli wewe?

sa umefunguaje thread uka comment bila kusoma au ndo tabia za huko kwen kwa kishua
 
Nasikiaga kuna 5W+H yaani what, where, who, why, when + how!

Kwa thread yako naona ni who na what tu ndo zimejibu nyingine zote nimebaki njia panda!

My take: habari yako haina mashiko haijakamilika! Nenda edit uanze 1.

Cio mtihan huo mengne malizia
 
Back
Top Bottom