BONTA katoa MATUSI

BONTA katoa MATUSI

Hii ni KUFURU, akumbuke kundi moja liliwahi kusema wao ni maarufu kuzidi YESU leo hii wachache wanawajua lakini YESU yuko palepale.

Haya ndio matatizo ya VIJITI NA BONGOFLAVA
 
Huyu Hapa:

Picha kwa hisani ya Choka. grand master.jpg
 
ha ha ha ha ha ha ha jamaa kaharibu du!
 
jaman huyu c ndo yule aliyeimba wimbo wa NAUZA KURA YANGU kipnd cha uchaguz 2010 mpaka anasema PALE KWA BIB PAFANANE NA ARUSHA..
duh.!jaman kutoka tabu tumsamehe bure labda ndo mbinu za kupata attention ya watu..
 
sijui kwanini amejichanganya huwa anakuwa na mistari ya maana sana.anastahili kuombewa...,
 
Huyu Hapa:

Picha kwa hisani ya Choka.View attachment 48515

aya ndio matatizo ya kutoka uzeeni,sasa alikuwa wapi ujanani mwake wakati wenzie wanashain??
Anaforce attention ya kipumbavu kwenye iman za watu,dharau kubwa sana hii,angewatusi waislam ndio angejua thaman ya iman ya mtu,ila kwa kuwa wakatoliki anajua wastaarabu ndio maana anawachezea.
 
Ana demu wake anaitwa maria bana. Demu alimbania kumpa mambo mpaka jamaa aache mziki. Na demu alikua bikra so jamaa kamchana kwamba verse zake ni za dhamani kuliko huyo maria na bikra.

Source~ fesibuuuku
 
Haya yote yanatokana na mfumo islam under oic n kadhi
 
Ana demu wake anaitwa maria bana. Demu alimbania kumpa mambo mpaka jamaa aache mziki. Na demu alikua bikra so jamaa kamchana kwamba verse zake ni za dhamani kuliko huyo maria na bikra.

Source~ fesibuuuku

we kweli mpatanishi unageuza jiwe kuwa mkate.!!!!
 
Jina la wimbo linapoteza maana nzima ya wimbo.
 
Kwa hli bro omba msamaha umeharibu et mistar yako ina thaman kuliko bikira ya maria hii cio ki2 kizur
[h=6]Bonta Concious
ni kama naongea matusi hawataki kuniskia, ni kama nafanya matusi hawataki kuniangalia...nabaniwa na nina enjoy coz heshima inaomgezeka na kitaani naeleweka, najua mengi kama lisu mi ni tundu la sindano, hamtapita nyie ngamia wa kijani na manjano, kwa mfano, hata manzi akivua nguo sisimami kama ufunguo, nitakaza mimi mjaluo, hisia zangu ziko mbali kama siasa za ulimwengu, generaly on... monday, kinanu...ka mpaka sunday, manara juu nilipo kamuulize warawara, sichezwi sana presenter yupo mfukoni, mwa chief, kiumbe mimi siitaja shangwe kwenye show, nipo emotional ni soo, piga kimya na niskilize mimi bro, nafungua vichwa vyenu kama droo, za kabati la chimwaga, linasiri za kumwaga, nikifa nitaacha mengi ndugu zangu, siachi promo za redioni wala ubingwa wa mdomoni, sipotei kama kidato kimoja mtangoja, JAH ndo anaebariki hizi tungo,zinathamani zaidi ya bikira, ya MARIE STOPES wanatoa, na mabint wanalia kimbia, bora kuwa tajiri pesa ndogo hizi ni najisi, wananajisi, kasisi............"NATUMIA SANA METALFOR[TASHIBIHA], AINA FLANI YA UANDISHI AMBAYO INALETA MORE THAN 1 MEANING KWA MSIKILIZAJI HUSIKA, SEHEMU ALIYOPO AU TRADITION YAKE...I aint mean to sound hush or to hurt any feeling....naamini sijatukana ila kama kuna m2 ame
athiriwa na iyo TASHIBIHA....naomba NISAMEHEWE
[/h]
 
mmh haya,no comment
 
Mbona hajatukana??? Marie stopes inafahamika sana kwa kutoa mimba hata ya miezi 8 wanatoa tu!!!
 
aya ndio matatizo ya kutoka uzeeni,sasa alikuwa wapi ujanani mwake wakati wenzie wanashain??
Anaforce attention ya kipumbavu kwenye iman za watu,dharau kubwa sana hii,angewatusi waislam ndio angejua thaman ya iman ya mtu,ila kwa kuwa wakatoliki anajua wastaarabu ndio maana anawachezea.
kweli kabisa,huyu mpumbavu kakosa jipya uzee unamsumbua 2.
 
Jamani kuna wa2 wamerukia hi mada bila kujua. BONTA katika huu wimbo anasema watu hawatak kumsikiliza kama anaongea matusi,pia watu hawataki kumuona kama anafanya matusi.wenye kuvamia hii mada bila kusikiliza wimbo wanakosea,tafuta wimbo ndo uje uongee OVER
 
Tuandamane kwa kashfa hii ili wimbo upigwe marufuku

Andamaneni tuwapige virungu, unakuwa kama cyo msomi! kwa maria yako mmoja hapa duniani? neno moja lina maana zaidi ya moja, acha kuwa na mawazo mgando ww.
 
kwa msiomjua bonta ni huyu hapa kwa ufupi. kwanza professionally ni daktari, yaani ni doctor mkuu hospitali ya isaka kahama, pia ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu mzumbe university akifanya degree ya public relations. zaidi ni mwanamziki wa hiphop (conscious hiphop) ndo maana akina gerald hando wanadakia bila kupitia mstari mmojammoja ktk kazi yake. kama hujui baadhi ya nyimbo zake ni pamoja na; hili game, naona mimi, mti wenye matunda (acheni nipigwe mawe), nauza kura yangu, nyerere, matusi na zingine nyingi.
 
Back
Top Bottom