Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #181
Ndio mkuu unapata, scholarship nyingi zinatolewa kwa wanafunzi wanaohitaji kusomea Bachelor, Masters na PhD.Mkuu kwa mfano mtu una diploma unataka kusoma bachelor degree unaeza pata scholarship
Hivyo kama una diploma na unataka kwenda kuendelea Bachelor ughaibuni anza kufanya maombi ya scholarship.