Kikawaida kupata passport kwa kufuata taratibu huchukua siku 10 za kazi. Lakini unaweza kuwaomba kama una haraka sana na hiyo passport wanaweza kuona jinsi ya kukusaidia kwa haraka.
Ondoa shaka mkuu huo ni ufadhili wa kielimu wenzetu wanathamini elimu kuliko chochote.Mmmh ila hawawez kuniletea janja janja kwel nikshafka state??? Anyway niende kusaka pesa lkn sio kuwa full funded hope ntakuwa controlled sbb napewa bure vya watu
Shukrani mkuuNashkuru kiongozi na usiwaze hiyo channel nishai follow mda mrefu
Kwa hiyo,ukiwa HIV+ inakuwaje sasa!🤣🤣🤣🤣🤣Kwa wale wanao apply Chinese government scholarship. Hakikisha umejaza hii document.
Kiukweli kwa uzoefu wangu sikuwahi kuona wala kusikia mtu akiondolewa kwenye scholarship kwasababu ya vipimo vya hiyo fomu.Kwa hiyo,ukiwa HIV+ inakuwaje sasa!🤣🤣🤣🤣🤣