Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

Una master's ya nini mkuu? Kwanini haijakusaidia mkuu. Na bachelor yako ulisomea nini?
Financially haijasaidia chochote.
Kwa kiwango cha mshahara nilionao hata kama ningekuwa sina masters basi ningekipata.

Maana Masters ni "Added Advantage" ila sijapata hiyo advantage yoyotee.
Maana kiuhalali tunasoma kwasababu ya "Financial rise"

#YNWA
 
Una masters na bachelor ya nini?
 


Two PhD or Postdoctor position from a German university.

If you are interested in it, you contact Prof. Renner.
 
Mkuu@meneja wa makampuni msaada wako tafadhari,naomba list za vyou vunavyofanya udahili Kwa masters nchini marekani Kwa mda huu na wawe hawana mambo mengi,naomba vyuo ambavyo wanafanya admissions fasta haijalishi hata kama bila scholarship ni sawa mm pesa ninayo mwenyewe halafu wasiwe wale wanahitaji English proficiency test results.
 
@Meneja Wa Makampuni
 
H
izi ni za level gan of education mkuu
 
Shida ya hizi Scholarship
1.Kwanza ushindani ni mkubwa sana, utakuta wameapply maelfu na wewe umehangaika kutumia gharama na muda lakini hata top 50 hautoboi πŸ˜€
2.Nyingi sio full funded na mpaka upate hiyo ya full funded inabidi ufaulu wako uwe juu sana! Hapa wale wenye GPA zetu za second lower tutasubiri sana πŸ˜€
3. Mlolongo wa process + kuandika Essay ndeeeefu ambayo itashindanishwa na essay zingine ili upite πŸ˜€ unaweza kukomaa kuandaa essay yako ya page hata 6 na usitoboe hata top 50 πŸ˜€. Mwisho wa siku unakata tamaa.
4.Cheti cha TOEFL Sijui na cheti gani kile, inabidi uwe navyo na huwa ni process kuvipata.
5.Unaweza kupata nafasi chuo unachoomba ila ukakosa Scholarship
 
Nina hakika ujawai kujaribu...mimi nilikuwa na mawazo kama yako miaka mingi nimekuwa mzito kuziomba scholarship nimejaribu mwaka huu nimefaulu essay na nimefanya interview nasubiria majibu insha'Allah mwezi may nitajua mbivu na mbichi ila kupita stage ya essay ni kitu kikubwa sana kwangu. GPA sio kigezo kwa kila scholarship mm nna lower second pia tena ya mwishoni
 
Scholarship ipi kaka , ?

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Tunaomba basi tusaidie na mambo yanayohitajika ili ukidhi kuchaguliwa
Yaani kweli uko serious. Mbona mwishowe wewe unataka utafuniwe ivi jamani. Yaani mtu afanye mazoezi na faida za mazoezi zije kwako. Mtu asome Ila maarifa yaje kwako. Aisee Kuna watu wanapenda kutafuniwa.na ndio Mana wabongo Ni wachache kwa nje ama fursa mbalimbali. Yaani kwanza kukuletea hapa jukwani akishamaliza kila kitu.
Zama kila website angalia vigezo. Soma chukua notes uangalie Ni wapi anafiti. Yaani aanze kusoma ndio akuletee hapa. Watu muwe mnaonaga na aibu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…