Book readers, tushirikishane App nzuri za kusomea (e-reader)

Nzuri sana. Naitumia sana hiyo App.
 
Kwa watumiaji wa iOS any recommend application ya kusomea.



bahat mbaya play store wamekuwa wabinafsi sana kuweka apps nzuri za kusomea.. mara waweke mara watoe..

ila kama una account amazon na unaufaham kutumia calibre kwa ajili ya kuingiza vitabu kwenye kindle app basi tumia kindle app ni one of the best ebook reader app...

shida ni kuwa amazon nao wabinafsi kindle app hai scan vitabu ulivyonavyo kwenye cm.. ina list vitabu au document ulizonazo kwenye account yako ya amazon.

ili uweze kuingiza vitabu kwenye kindle app inabid utumie ebook management kama vile calibre.. au ujiunge cloud server services... the likes of goodreads au bookfusion ambazo unaweza ukasend vitabu kwenye kindle app

infact napendelea zaid bookfusion sababu haina mambo mengi na you can easily send ebooks kwenda kwenye kindle ... kwa Android ina app yake unaweza ukasoma vitabu ila kwa IOS haina app

nje ya hapo tumia epub reader ( itabid vitabu viwe kwenye format ya Epub)
 
Vitabu na download kwenye sites mbali mbali reader natumia Moon reader+ ina features mbalimbali na ina support pdf, epub, mobi etc ina themes mbalimbali pia.
 
Napenda sana kujisomea vitabu but sina acces hasa hizi Ebooks..wajuba nipeni Source mnazotumia kupat vitabu mtandaoni.
 
Thanks mkuu
 
Mkuu ninekuwa nikitumia kindle whitepaper ila kuna vitabu nilidownload kutoka mtandaoni format ya epub vimegoma kusoma, nikitumia format ya pdf font inakuwa ndogo sana

Cha kufanya, pakua na uinstol Calibre (calibre - E-book management). Ongeza epub yako kwenye maktaba yako ya Calibre. Kisha unganisha Kindle yako kwa kutumia waya wa USB. Send your book to Kindle. Calibre itakiconvert automatically, na kindle itakipokea.

Mbadala mwingine ni wa kutumia Kindlegen . Lakini huu ni kama uko comfortable na command line. Amazon.com Message

Mbadala mwingine tena ni wa kutumia Kindle Previewer. Ukifungua epub yako kwenye Kindle Previewer yenyewe itakiconvert kuwa Kindle Format. Kindle Previewer
 
tru kabisa na nishakuwa addictated yaan kusomea kwebye gadget zingine kama cm kindle fire hdx ni basi tu ila paper white.. acha ina feeling kama umeshika an actual book ...
Kindle Paperwhite ni device of my choice pia. Kweli ni kama hakuna tofauti na kusoma kitabu halisi. Only better... Ukiajasti mwanga, mtu anaweza kushindwa kuamini kwamba ulichoshika siyo kitabu...
 
Keep me posted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…