Book readers, tushirikishane App nzuri za kusomea (e-reader)

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Kwa wasoma vitabu, kutokana na sababu mbalimbali, wengi tunatumia zaidi softcopies badala ya hardcopies. Formats za vitabu zilizotawala ni pdf, ePub na Mobi. Mimi binafsi napendelea ePub au mobi kuliko pdf sababu ya fonts za pdf ni ndogo ndogo sana.

Hivyo kwenye kusoma, App unayotumia inaweza kukuvutia kusoma au la. Mimi binafsi ninatumia App mbili kwenye kusoma, sababu ninasoma vitabu vya namna mbili, Novels and Non-novels.

Non-Novels.

Nasoma zaidi vitabu vya Non fictions kama vya Historia, wasifu, Sayansi, Siasa n.k. Hivyo kwenye usomaji hujikuta nahitaji kutake Note na napenda zaidi Fonts ziwe kubwa na ndefu huku nikiwa na display kubwa. Hivyo baada ya Safari ndefu ya kutumia na kuacha, nimejikuta ni mlevi wa App ya ReadEra.

Screenshot_20210518-173327.png

Naipenda App sababu, ya Fonts zake zinavutia sana kusoma (inakupa uchaguzi wa fonts). Font hizi nimezi-custumize hivi;
Screenshot_20210518-173511.png

Pia inakupa mfumo mzuri wa kutengeneza folders, kama za To Be Read list, Read List, Collection (hapa unaweza tengeneza 'shelf' yako ya vitabu kutokana na mpangilio uutakao mf, History, Politics, Novels, Siasa, Tawasifu n.k. Inakupa uwezo wa kupanga kwa Authors. Sifa yake nyingine kubwa, hakuna Ads kabisa. App nyingi zinakera kwa Ads.
Screenshot_20210518-170747.png

Screenshot_20210518-171130.png

Novels.

Novels pia zinavutia ikiwa na fonts style fulani fulani. Hapa natumia App ya PrestigioReader.

Screenshot_20210518-170133.png
Screenshot_20210518-174304.png
Screenshot_20210518-170314.png

App nzuri yenye inayokupa muonekano na nyenzo sahihi za kutumia, kwenye usomaji, huvutia sana kusoma na kusoma. Hatimaye kukimaliza kitabu, kukupa urahisi wa kufanya reviews na discussions kwenye forums mbalimbali.

Tushirikishane, wewe unatumia App gani? Inakuvutia vipi?
 
natumia Kindle app sababu nina kindle fire na kindle ink

na natumia calibre ku sncy vitabu vyangu kati ya kindle app na kindle devices.. na vitabu na sync na goodreaders, na bookfusion. napenda bookfussion.com zaid sababu iko straight

kindle app nzuri sema inahitaj some skills uweze kuingiza vitabu ambavyo hujanunua amazon. ndo hapo napotumia calibre software
 
Kongole. Mimi natumia Kindle Paperwhite hardware. Kwa software halikadhalika natumia Kindle App nikitaka kusomea kwenye skrini za kawaida. Na pia hutumia Calibre kuhamishia vitabu nisivyonunulia Amazon.

Kindle Paperwhite is a must-have gadget for any bookworm!
 
Mi natumia kindle. Hapa nikiwa nimenunua kitabu. Pia natumia ReadEra, iko vizuri na ina vitabu vingi unaweza pakua bure. Ila hasa siku hizi natumia Light reader. Hii unaweza pakua vitabu vingi sanaa.
Hizi app kinachonifurahisha ni kukurudisha page ileile hata kama ulikifungua mara ya mwisho mwaka jana.

Pia nikitaka kusoma vitabu vya kiswahili naingia maktaba app by pictuss.
 
ReadEra ni best of all that i've ever used.

Kindle kwa kweli toka nilipopata site moja (Zlibrary), nilishaacha nunua vitabu.

Hii Maktaba siifahamu, ngoja niicheck.
 
Mi natumia kindle. Hapa nikiwa nimenunua kitabu. Pia natumia ReadEra, iko vizuri na ina vitabu vingi unaweza pakua bure. Ila hasa siku hizi natumia Light reader. Hii unaweza pakua vitabu vingi sanaa.
Hizi app kinachonifurahisha ni kukurudisha page ileile hata kama ulikifungua mara ya mwisho mwaka jana.

Pia nikitaka kusoma vitabu vya kiswahili naingia maktaba app by pictuss.
Nime Install na ku reinstall ila inasema Network Failure.
Screenshot_20210518-191753.jpg
 
Kongole. Mimi natumia Kindle Paperwhite hardware. Kwa software halikadhalika natumia Kindle App nikitaka kusomea kwenye skrini za kawaida. Na pia hutumia Calibre kuhamishia vitabu nisivyonunulia Amazon.

Kindle Paperwhite is a must-have gadget for any bookworm!
Mkuu ninekuwa nikitumia kindle whitepaper ila kuna vitabu nilidownload kutoka mtandaoni format ya epub vimegoma kusoma, nikitumia format ya pdf font inakuwa ndogo sana
 
tru kabisa na nishakuwa addictated yaan kusomea kwebye gadget zingine kama cm kindle fire hdx ni basi tu ila paper white.. acha ina feeling kama umeshika an actual book ...
 
uzuri wa kindle ndio huu sync ya kitabu unachosoma ukaendelea kusoma kwenye device yoyote ile

IMG_6410.JPG

na inasapoti audio books
 
Mkuu ninekuwa nikitumia kindle whitepaper ila kuna vitabu nilidownload kutoka mtandaoni format ya epub vimegoma kusoma, nikitumia format ya pdf font inakuwa ndogo sana

tumia ebook converter app yoyote otherwise na recommend calibre kwa ajili ya ebook management pia ina unaweza ukapata meta data za kitabu chako na ukaconvert kwenye format zaid ya 5
 
Back
Top Bottom