Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Superb.....mimi mwenyewe nimeshaanza kuisoma na nimepanga mpaka 2020 niwe nimeielewa na kuimaliza na naamini Mungu ataniongoza katika hili
Kweli mkuu. Inauma sana..Ilani ya Chadema naipitia kila siku kuona tatizo ilikuwa nini.ile ilani ilitaka kumkomboa mtanzania kifikra,kumpa elimu.lakini yeye kagoma amechagua ujinga
labda uanze na animal farm cha george orwell
Nimechelewa lakini nimeona majibu yako. Lovely! Nilisoma kitabu cha gifted hands nikiwa form 2 au 3 lakini sijui ni kutokana na uwezo mdogo kingereza wakati ule na ukosefu wa tabia ya kujisomea, nilikimaliza lakini hakikuwa na impact yeyote kwenye maisha yangu. Nilikuja kukinunua tena nikiwa nimeshakuwa mama. Kama single mama I was inspired kwani niliweza kuthamini zaidi juhudi za mama na bibi yangu lakini nilijifunza mambo makubwa sana kuhusu malezi ya mtoto wangu na najitahidi kufata nyayo za mama Carson na matunda nayaona. Nimeona faida ya kujishusha na kumpa Mungu nafasi, lakini pia niliweza kucheka sana pale nilipogundua kuwa kumbe si mimi peke yangu niliwahi kuwa wa kwanza kwenye shule fulani lakini nilipohamia shule nyingine nikawa wa mwisho na baadae kuibuka tena na kuongoza. Pia nimempa zawadi mdogo wangu ambaye ni bright sana ila hatujui nini kilitokea kuanzia darasa la 4 alianza kushuka na kushika namba za mwisho mwisho na ufaulu hafifu. Mwakani anaanza sekondari. Nimejifunza mengi ila kwa kuwa hapa si mahali pake naishia hapa. Nakupongeza tena, keep the spirit!Mkuu hii inathread yake,
Lakini the first book to read ilikuwa ni zawadi kutokana kwa bibi yangu aliyeishia darasa LA nne. Aliposikia kinasifiwa alininunulia kama zawadi THINK BIG form two miaka hiyo.
Tangu ni kisome academically sijawahi kufeli tena hadi namaliza elimu zote nilizopitia. Hata nikiambiwa nirudi Leo shule kwa fani yoyote ile haitanisumbua kbs.
Piz humo ndio niigundua siri ya kwa nini nimesoma vitabu. Tena in all angles of life.
Kukujibu swali lako kwa ufupi Billionaire Wallen Buffet anasema " I read a lot of books so that I may not make silly investment decision"
Kwangu they have reduced error margin in every aspect of my life.
Kwa vitabu hivyo specifically kila kimoja kina impact yake na tangible results.
I now practice kila nilichojifunza and I see exponential outcome katika kila niichokuwa anafanya last year.
Change is process, naamini by read,rereading and practice practice practice these changes will cement.
Nimetoa general lkn maana hapa sio mahala pake.
hongera sana. Taratibu taratibu utajikuta wiki 1 unamaliza kitabu tena na kuna wakati utakuwa unajilazimisha kukiweka chini. Niliwahi kusoma "the long walk to freedom" cha mandela kwa siku 3. Nikasoma "the purpose driven life" cha rick warren ukurasa mmoja wiki, mara niruke niende ukurasa flani baadae nikakitelekeza bila kumaliza hata sura moja. Nilikuja kukirudia miaka miwili baadae baada ya kuanza bible study na kuelewa philiosphy ya rick warren ya maisha kwenye kile kitabu ilitoka wapi. Nadhani muda mtu anaotumia kusoma kitabu pia unategemea relevance ya kitabu husika kwenye maisha ya mtu, kiwango cha kuelewa n.k.Nina mwezi wa pili sasa bado napambana na Think Big cha Ben ndo nipo katikati,heri wewe unaevifuta faster
NimesomaWai, nimesoma ''Mtaisoma namba'' cha H.E ndugu Pombe!
Wai, nimesoma ''Mtaisoma namba'' cha H.E ndugu Pombe!
vitabu vizuri sana. siku hizi nimeachaa kusoma vitabu vya mashahidi. ngoja mwakani nianze tena.Kuna kitabu ambacho ni ka mwongozo wa kuijua biblia kinaitwa JE BIBLIA INAFUNDISHA NINI HASA ni kizuri sana mkuu
Hiki ndo kitabu bora zaidi nilichowahi kusoma maishani mwangu
Kuna kingine pia kinaitwa
JE KUNA MUUMBA ANAYEKUJALI? Kimechambua sayansi kiustadi na kwa lugha nyepesi