Mkuu hii inathread yake,
Lakini the first book to read ilikuwa ni zawadi kutokana kwa bibi yangu aliyeishia darasa LA nne. Aliposikia kinasifiwa alininunulia kama zawadi THINK BIG form two miaka hiyo.
Tangu ni kisome academically sijawahi kufeli tena hadi namaliza elimu zote nilizopitia. Hata nikiambiwa nirudi Leo shule kwa fani yoyote ile haitanisumbua kbs.
Piz humo ndio niigundua siri ya kwa nini nimesoma vitabu. Tena in all angles of life.
Kukujibu swali lako kwa ufupi Billionaire Wallen Buffet anasema " I read a lot of books so that I may not make silly investment decision"
Kwangu they have reduced error margin in every aspect of my life.
Kwa vitabu hivyo specifically kila kimoja kina impact yake na tangible results.
I now practice kila nilichojifunza and I see exponential outcome katika kila niichokuwa anafanya last year.
Change is process, naamini by read,rereading and practice practice practice these changes will cement.
Nimetoa general lkn maana hapa sio mahala pake.
Nimechelewa lakini nimeona majibu yako. Lovely! Nilisoma kitabu cha gifted hands nikiwa form 2 au 3 lakini sijui ni kutokana na uwezo mdogo kingereza wakati ule na ukosefu wa tabia ya kujisomea, nilikimaliza lakini hakikuwa na impact yeyote kwenye maisha yangu. Nilikuja kukinunua tena nikiwa nimeshakuwa mama. Kama single mama I was inspired kwani niliweza kuthamini zaidi juhudi za mama na bibi yangu lakini nilijifunza mambo makubwa sana kuhusu malezi ya mtoto wangu na najitahidi kufata nyayo za mama Carson na matunda nayaona. Nimeona faida ya kujishusha na kumpa Mungu nafasi, lakini pia niliweza kucheka sana pale nilipogundua kuwa kumbe si mimi peke yangu niliwahi kuwa wa kwanza kwenye shule fulani lakini nilipohamia shule nyingine nikawa wa mwisho na baadae kuibuka tena na kuongoza. Pia nimempa zawadi mdogo wangu ambaye ni bright sana ila hatujui nini kilitokea kuanzia darasa la 4 alianza kushuka na kushika namba za mwisho mwisho na ufaulu hafifu. Mwakani anaanza sekondari. Nimejifunza mengi ila kwa kuwa hapa si mahali pake naishia hapa. Nakupongeza tena, keep the spirit!