Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

mkuu we umesoma nini mwaka huu?

Mkuu, too many to mention. I am glad to see some titles I picked up earlier becoming popular here, I am especially glad for "Why Nations Fail" which addresses a lot of the questions Tanzania is facing.

Mwaka huu niekuwa busy na n projects zangu hasa nusu ya pili hii. Sikupata nafasiya kusoma kama nilivyotaka. Pia nimejaribu kusoma fiction zaidi kidogo, baada ya kuambiwa nasoma nonfiction sana.

Hivi ni baadhi ya vitabu nilivyosoma 2015.

1. Nikola Tesla: Imagination and the Man That Invented the 20th Century - Patrick, Sean

2.Darwin's Ghosts: The Secret History of Evolution - Stott, Rebecca

3. The Fortunes of Africa: A 5,000 Year History of Wealth, Greed and Endeavour - Meredith, Martin

Bada ya kumaliza 2014 kwa kusoma "Nyerere: The Early Years " cha Thomas Molony - kitabu ambacho ninaki recommend kwa yeyote anayetaka kumjua zaidi Nyerere, nilitaka kusoma zaidi historia ya Nyerere kwa kuanza 2015 na kitabu hiki namba 5 ambacho kilinukuliwa sana na Molony.

4. Nyerere Of Tanzania - Smith, William Edgett

5. Age of Ambition: Chasing Fortune, Truth, and Faith in the New China - Osnos, Evan

6.Alan Turing: The Enigma - Hodges, Andrew

7. Back to Blood - Wolfe, Tom

8, 1Q84 Book 1 of 3 - Murakami, Haruki

9. 1Q84 Book 2 of 3 - Murakami, Haruki

10. 1Q84 Book 3 of 3 - Murakami, Haruki

11.FDR - Smith, Jean Edward

12. Reagan: The Life - Brands, H.W.

13. Winner Take Nothing - Hemingway, Ernest

14. The Social Conquest of Earth - Wilson, Edward O.

15. The Wikileaks Files: The World According to US Empire - Assange. Julian
 
Mwaka huu namshukuru Mungu nimeweza kusoma vitabu kadhaa ambavyo vimeniongezea uelewa wa mambo mapana ya kijamii baadhi yake:

1. The return of Depression Economics and the Crisis of 2008 by Paul Krugman

2. Globalization on trial: the Human Condition and the information Civilisation

3. Ten years later: Revisiting The Asian Financial Crisis Ed. By Bhumika Muchhala

4. Real Estate Finance in the New Economy by Piyush Tiwari & Michael White

5. A Thousand Hills: Rwanda's Rebirth and the Man who Dreamed It by Steven Kinzer

6. Maverick Real Estate Investing: The Art of Buying and Selling Properties Like Trump, Zell, Simon and the World's Greatest Land Owners by Steve Bergsman

7. How the West was Lost: Fifty years of economic Folly and the Stark Choices Ahead by Dambisa Moyo

8. Hiki ntafunga nacho mwaka na kuanzia 2016. Understanding Economic Development: A global Transition from Poverty to Prosperity? By Colin White.

Nimegundua mwaka huu sijasoma kabisa personal development books, hiki ntalitilia mkazo na pia nimeshindwa kutimiza lengo la kusoma 24 books kwa mwaka huu. Natumaini 2016 ntafanya vizuri zaidi.
 
shukrani kwa kushare. nafikiri cha Meredith na cha China vitanifaa mwaka ujao.
 
umesoma vitabu serious sana. hongera sana.
 
Mkuu ungetuwekea hivi vitabu naamini mwaka tungeumaliza vizuri
 
Rich daddy's prophecy Robert kyosaki
The Islamic antichrist Joel Richardson
blood moon-John Hague
The real life MBA - Jack Welsh
 
Nimesoa kitabu kimoja tu mpaoa sasa kwa mwaka huu nimeanza kukisoma kuanzia mwez wa kum na moja kinaitwa TOUGH TIMES NEVER LAST BUT TOUGH PEOPL DO kimeandikwa na Dr Robert H. Schuller
 
Wide My World, Narrow My Bed: Living and Loving the Single Life-- Luci Swindoll
 
fanyeni kudownload app inaitwa 4shared ipo play store...ina novel nyingi sana mnazozitaka na kuzitafuta...PDFs
 
I now practice kila nilichojifunza and I see exponential outcome katika kila niichokuwa anafanya last year.
Change is process, naamini by read,rereading and practice practice practice these changes will cement.

Wakati ulipoweka list ya vitabu na short preview ya vitabu ulivyosoma nilikiona cha Five Love Languages nikaamua kukitafuta na kukisoma.

Sijaoa lakini I have been impressed and inspired by that book. Nimejifunza vitu vya msingi sana na nikagundua mambo mengi ya msingi. Natamani wale waomba ushauri wa MMU wote wangekisoma.

Its the book of the Year to me japo hakikuwa kwenye plan.

Thanks to Red Giant kwa kuanzisha huu uzi, kupitia kwake nimepata very important knowledge.
 
Last edited by a moderator:

Karibu mkuu.
Mwenyewe kimechange perspective yangu juu ya mapenzi na familia nitakayoianzisha kwa 180?.

Tunaangamia kwa kukosa au kupuuzia maarifa.
 
SOSSYmwazi, asante. Lakini mimi napendelea zaidi hard copy. Nikisoma softcopy huwa nachoka sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…