Mama wawilii
Senior Member
- May 10, 2012
- 149
- 134
Asante mkuufanyeni kudownload app inaitwa 4shared ipo play store...ina novel nyingi sana mnazozitaka na kuzitafuta...PDFs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuufanyeni kudownload app inaitwa 4shared ipo play store...ina novel nyingi sana mnazozitaka na kuzitafuta...PDFs
mkuu nikupe email,unitumie hivyo kama soft copy unazo,mimi nimesoma vitabu vufuatavyo,
1. 168HRS You have more time than you think - ni kitabu kinachofundisha kuwa muda upo mwingi. Kuna mifano hai ya watu waliofanikiwa katika suala hili, ukikisoma kwa utulivu hautabaki kama ulivo. Misisitizo ni kuinvest katika key competency yk.
2. The Monk who sold his Ferrari - inspirational book safi sana.
3. Managing Difficult projects - techniques za kuendesha miradi sumbufu kikiwa na case study za kutosha.
4. Prophets and Kings - kitabu kinaelezeamanabii na wafalme wote wa bibilia na jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuwa akifanya nao kazi. Utajifunza kulikuwa na watu wakorofi, vigeugeu, wenyemisimamo, waovu, jasiri, Pia Mungu ukifanya uovu wowote ule siku ukiamua kumrudia yeye hana shida kabisa.
5. Mwanzo na Kutoka - Vitabu vya bibilia vinavyofundisha dunia hii imetoka wapi na kwa nini tuko katika taabu, vita mashaka. pia vitu tunavyoviona leo sio vipya vimewahi tokea zamani. Uhusiano wa Mungu na ISRAEL (familia ya jamaa mmoja anaitwa yakobo)
6. Take Charge of your life -inspirational audio za Jimm Lohn
7. Inspirational Speeches of Dr Otabil Mensah.
8. miday's touch by robert kiyosaki
Mwakani ni mpango wa kumaliza Bibilia Nzima, Ni rahisi maana natumia KJV Dramatized audio huku nafuatilia kwa hard copy ya bibilia. unakuwa unasoma kama vile upo kwenye tukio. zaidi ya hilo nahitaji kusoma vitabu zaidi ya kumi nikianza na why nations fail. Lakini mwisho wa siku niwe na uwezo wa kuandaa articles za kuelimisha jamii kutokana na elimu nitakayoipata.
Ni kazi lakini naamini tatizo huwa sio muda tatizo ni nia.
MKUU NIKUPE EMAIL UNITUMIE VITABU ULIVYONAVYOWakuu mwaka unaelekea ukingoni na ni wakati wa kujitathmini. Mi napenda tujitatmnini juu ya vitabu tulivyosoma mwaka huu kama ilivyo desturiyetu ya kila mwaka. Mimi nimesoma vifuatavyo.
MOSSAD: kimeandikwa na Nissim Mishal na Michael Bar-Zohar. Hiki kitabu kinazungumzia missions kubwa kuwahi kufanywa na shirika la kiijasusi la Israel (Mossad). Toka kukamatwa kwa wanazi walioua wayahudi, kupambana na waarabu, kupambana na magaidi , na hadi leo wanavyopambana na jitihada za Iran kuwa nuclear power. Ni kama novel ya kijasusi tofauti ni kwamba haya yalitukia kweli.
THE DARK SIDE OF NYERERE: kimeandikwa na Ludovick Kaijage. Anaelezea jinsi alivyoshikwa na kuwekwa kizuizini na usalama wa taifakipindi cha cha Nyerere kwa kuhisiwa uhaini. Ni kitabu rahisi chenye kurasa 87 na kinavutia kusoma. Shida ni kuwa mhandishi hajasema kama kweli alipanga uhaini au la. Ila kinasaidia kutoa mwanga jinsi usalama wa taifa wanafanya kazi na incompetence yao.
AFRICA IS IN A MESS, what went wrong and what should be done: kimeandikwa na Godfrey Mwakikagile. Kakitabu simple kenye kurasa 60 . kakitabu hakachoshi kusoma. Ila naona jamaa kaelezea tu jinsi Africa iko kweny mess ila hajasema what went wrong and what should be done.
THE FATE OF AFRICA: kimeandikwa na Martin Meredith. Kinaelezea historia ya Africa kiuchumi na kisiasa toka uhuru mpaka miaka ya 2000s. hakuna nchi imeachwa humo. Ni kitabu kizuri mno na sehemu zingine kinachekesha sana.
CURRENCY WARS; kimeandikwa na James Rickards. Kinazungumzia jinsi sarafu zinatumika kama silaha. Leo kuporomoka kwa ruble ni sehemu ya currency war. Ni kitabu kizuri.
THE ART OF WAR: ili kikuingie usome kikiwa na maelezo ya ziada. Mi nilikisupplement na documentary ya history channel inaitwa the art of war.
AMERICA THE BEAUTIFUL: kimeandikwa na Ben Carson. Kinazungumsia principles zilizoifanya marekani ifike ilipo, jinsi inavyochepuka na jinsi ya kuzirudia.
THE BRIEF HISTORY OF TIME: kimeandikwa na prof Stephen Hawking. Kinaelezea historia ya universe toka big bang. Kuna mambo yanachangamsha sana akili japo kuna concepts sikuweza kuzielewa. Nilikusupplement na documentaries kama through the wormhole na Hawking.
WHY NATION FAIL: kimeandikwa na Daron Acemoglu na James Robinson. Hiki kitabu bado nakisoma ila naona ndiyo best kati ya nilivyosoma mwaka huu. Hiki kinajibu ishu ya Mwakikagile ya what went wrong and what should be done.
THE KNIGHT IN AFRICA: kimeandikwa na mtanzania ambaye ni freemason, sir Chande. Kkinazungumzia maisha ya huyu jamaa aambaya kafanya ishu mbalimbali ndani yah ii nchi. Bibliographies na memoirs huwa zinavutia kusoma ila uhonest wake unakuwaga questionable.
NO LONGER AT EASE: ni kitabu kizuri cha Chinua Achebe.
We mwaka huu umesoma nini?
Katika nyuzi za miaka iliyopita naona hawa walikuwa wachangiaji, karibuni nyote.
Kiranga, Roulette, EMT, The Boss, Nyani Ngabu, nyumba kubwa Mzee Mwanakijiji, Horseshoe Arch, LORDVILLE, jeba, Mwelewa, Laleyo, Habdavi, AL SHARPTON, leo.leo, Mjuni Lwambo, MSEZA MKULU, Makirita Amani, Kanigini,
poa mkuu. niambie ulichokipenda nikutumie kama kipo.MKUU NIKUPE EMAIL UNITUMIE VITABU ULIVYONAVYO
nyovyoye vya masuala ya inpiration,au chochote unachohis ni muhim mimi kukisomapoa mkuu. niambie ulichokipenda nikutumie kama kipo.
nafikiri hiki kitakufaa.nyovyoye vya masuala ya inpiration,au chochote unachohis ni muhim mimi kukisoma
poa vitume hata hapa hapa mkuu yawezekana wengi wakafaidika pianafikiri hiki kitakufaa.
Napenda sana kusoma vitabu ila lugha kwangu ni tatizo ikitokea nikifika sehemu sijaelewa basi mood inakata na kushindwa kuendelea msaada mkuu ukija inbox utanisaidia zaidi hata wengine nitashukuru mkinisaidia[emoji122] [emoji122]Wakuu mwaka unaelekea ukingoni na ni wakati wa kujitathmini. Mi napenda tujitatmnini juu ya vitabu tulivyosoma mwaka huu kama ilivyo desturiyetu ya kila mwaka. Mimi nimesoma vifuatavyo.
MOSSAD: kimeandikwa na Nissim Mishal na Michael Bar-Zohar. Hiki kitabu kinazungumzia missions kubwa kuwahi kufanywa na shirika la kiijasusi la Israel (Mossad). Toka kukamatwa kwa wanazi walioua wayahudi, kupambana na waarabu, kupambana na magaidi , na hadi leo wanavyopambana na jitihada za Iran kuwa nuclear power. Ni kama novel ya kijasusi tofauti ni kwamba haya yalitukia kweli.
THE DARK SIDE OF NYERERE: kimeandikwa na Ludovick Kaijage. Anaelezea jinsi alivyoshikwa na kuwekwa kizuizini na usalama wa taifakipindi cha cha Nyerere kwa kuhisiwa uhaini. Ni kitabu rahisi chenye kurasa 87 na kinavutia kusoma. Shida ni kuwa mhandishi hajasema kama kweli alipanga uhaini au la. Ila kinasaidia kutoa mwanga jinsi usalama wa taifa wanafanya kazi na incompetence yao.
AFRICA IS IN A MESS, what went wrong and what should be done: kimeandikwa na Godfrey Mwakikagile. Kakitabu simple kenye kurasa 60 . kakitabu hakachoshi kusoma. Ila naona jamaa kaelezea tu jinsi Africa iko kweny mess ila hajasema what went wrong and what should be done.
THE FATE OF AFRICA: kimeandikwa na Martin Meredith. Kinaelezea historia ya Africa kiuchumi na kisiasa toka uhuru mpaka miaka ya 2000s. hakuna nchi imeachwa humo. Ni kitabu kizuri mno na sehemu zingine kinachekesha sana.
CURRENCY WARS; kimeandikwa na James Rickards. Kinazungumzia jinsi sarafu zinatumika kama silaha. Leo kuporomoka kwa ruble ni sehemu ya currency war. Ni kitabu kizuri.
THE ART OF WAR: ili kikuingie usome kikiwa na maelezo ya ziada. Mi nilikisupplement na documentary ya history channel inaitwa the art of war.
AMERICA THE BEAUTIFUL: kimeandikwa na Ben Carson. Kinazungumsia principles zilizoifanya marekani ifike ilipo, jinsi inavyochepuka na jinsi ya kuzirudia.
THE BRIEF HISTORY OF TIME: kimeandikwa na prof Stephen Hawking. Kinaelezea historia ya universe toka big bang. Kuna mambo yanachangamsha sana akili japo kuna concepts sikuweza kuzielewa. Nilikusupplement na documentaries kama through the wormhole na Hawking.
WHY NATION FAIL: kimeandikwa na Daron Acemoglu na James Robinson. Hiki kitabu bado nakisoma ila naona ndiyo best kati ya nilivyosoma mwaka huu. Hiki kinajibu ishu ya Mwakikagile ya what went wrong and what should be done.
THE KNIGHT IN AFRICA: kimeandikwa na mtanzania ambaye ni freemason, sir Chande. Kkinazungumzia maisha ya huyu jamaa aambaya kafanya ishu mbalimbali ndani yah ii nchi. Bibliographies na memoirs huwa zinavutia kusoma ila uhonest wake unakuwaga questionable.
NO LONGER AT EASE: ni kitabu kizuri cha Chinua Achebe.
We mwaka huu umesoma nini?
Katika nyuzi za miaka iliyopita naona hawa walikuwa wachangiaji, karibuni nyote.
Kiranga, Roulette, EMT, The Boss, Nyani Ngabu, nyumba kubwa Mzee Mwanakijiji, Horseshoe Arch, LORDVILLE, jeba, Mwelewa, Laleyo, Habdavi, AL SHARPTON, leo.leo, Mjuni Lwambo, MSEZA MKULU, Makirita Amani, Kanigini,
Safi mkuuHapo umeniacha...nikupongeze...
Mimi hiyo list nimesoma Why Nations Fail tu ni kitabu bomba sana kwa political economists, developmental economists etc...how politics and economics interplay to hinder or promote economic prosperity of a nation....
Kwa sasa nina vitabu viwili nadhani ntasoma before mwaka kuisha...
1. Men are from Mars Women are from Venus - John Gray
2. How to get from where you are to where you want to be - Jack Canfield
3. 15 Minutes alone with God (hiki kinawafaa wakristu tu...lakini ni kizuri sana ...hata muislamu asiye na ubaguzi anaweza soma akapata kitu...kinahusu jinsi ya kutimiza majukumu ya mwanamke aliye busy kuweza kuwa good wife...keeping your family and yourself (maintain your beauty) and praying at least for 15 minutes daily...Kitabu kizuri sana aisee...kimenisaidia kuji evaluate...mfano kwangu tuna tabia ya kula huku tunaangalia TV; sasa hivi nimewaelewesha wana familia tuache hiyo tabia...muda wa kula ni muda wa kukaa pamoja kama familia kwenye dining table...kusali pamoja na nimeandaa sahani special ambayo hero wa siku anaitumia...na inamkumbusha that person that he/she is special person in the family that day.
Nimevinunua sababu nataka kuboresha maisha yangu na mwenza wangu (the first one and third) na kuweza kufikia dreams zangu maishani (second one)...Unajua watu wengi wana uelewa mkubwa lakini kama huna ujanja wa maisha utakufa bila ku make it...ndio maana napenda sana vitabu vya saikolojia...na vinavyofundisha soft skills...
Mfano nimesoma vitabu vingi sana vya presentation skills...yani niki present utazimia...hata kama ni pumba...nakumbuka nili present watu wakapagawa kuja kushtuka chair anakuja na report (baada ya siku kadhaa of course) kuwa kuna a lot to improve in your paper only that we were all carried away with your powerful presentation...te te te...lakini nime learn ...sikuzaliwa good presenter/public speaker ...and I was bad one last year...
Yani ilikuwa ni presentation ya field data lakini niliwawekea mpaka video clip (watu midomo wazi) na within 30 minutes provided.
Nikaombwa ni present tena for 6 minutes my thesis kwenye event nyingine iliyo involve vyuo kadhaa ...nikawaacha hoi tena ...maana nilitumia picha tu kwenye power point yangu to tell 'my story'
mi nikiwa nasoma dictionary lazima iwe nayo imefunguka. imenisaidia sana kukuza msamiati. jaribu hiyo njia. pia jaribu kutafuta simple novels.Napenda sana kusoma vitabu ila lugha kwangu ni tatizo ikitokea nikifika sehemu sijaelewa basi mood inakata na kushindwa kuendelea msaada mkuu ukija inbox utanisaidia zaidi hata wengine nitashukuru mkinisaidia[emoji122] [emoji122]
Thanks Red Giant...hata mimi nimeki download...na nimeanza kukisoma...keep on sharing! Kama una vingine naomba ututupiemo ...nafikiri hiki kitakufaa.
Hongera sana mkuurise above by gwen shamblin
the blood vines by erica spindler
short stories by jeffrey archer
zawadi (unpublished) by lizzy jf (jf ndo jina la babake)
i read a minimum of 3 books at per