Leopold Rwegoshora
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 328
- 256
New Life In Kyerefaso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali weka na picha yakeMambo ya Walawi
Mimi kitabu bora zaidi kuwahi kukisoma ni
SUN TZU THE ART OF WAR
Kubadilishana uzoefu na kupanuana mawazo wakuu tutaje Vitabu na picha zake
View attachment 536604
Nitumie soft copyKitabu kizuri sana huwa natamani kingesomwa na kila mtu. Ningekuwa mzuri kwenye tafsiri ningekiweka kwa Kiswahili.
NakipatajeKwa Uzi huu nimeelewa kwann walisema ukitaka Kumficha Mbongo ficha kitu kwenye Kitabu! Anyway my best book is "The Measure of A Man" Martin Luther King.. The Very few Pages you'll never regret reading![]()
Nakipataje mama nisaidie naisi kinanifaaBreaking the Curses of Life.... By Dr. David Oyedepo
NakipatajeBreaking the Curses of Life.... By Dr. David Oyedepo
Nitumie soft copy
Nakubaliana na wewe mkuu 100%nilisoma vitabu viwili nikiwa mwaka wapili katika masomo yangu udsm.
View attachment 536867
na
View attachment 536868
hakika vitabu hivi vilinigenga sana. niliamua kuanza kujiandaa na ujasiliamali ili nikihitimu nijiajili.
vilifaulu kubadili matazamo wangu completely. nilihitimu masomo yangu mwaka 2013 hapo udsm. hadi leo sijarudi hata kuchua provion result za chuo kwa maana hata sijawahi kuomba kazi toka nihitimu. nilikutana na magumu sana katika shuguli zangu.
mwaka 2015 nikawa ugungo mataa nikakutana na kitabu kimoja kinaitwa richest man in babylon nikanunua
kilinijenga kwa kiwango ninamshukulu Mungu hadi sasa sioni company wala shilika la linaloweza nilipa mshahala kwa kiwango cha kukatisha kufuata ndoto yangu. japokuwa sasa bado sijafanikiwa kipesa ila kimutazamo nipo vizuri
View attachment 536874
nawaasa vijana wenzangu tusome vitabu mimi vimebadilsha mtazamo wangu kutokana na vitabu hivi.
Asante sana ubarikiweHicho hapo Katichi
Amen,nimepokea baraka,nashukuruAsante sana ubarikiwe