Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Breaking the Curses of Life.... By Dr. David O. Oyedepo

 
Kwa Uzi huu nimeelewa kwann walisema ukitaka Kumficha Mbongo ficha kitu kwenye Kitabu! Anyway my best book is "The Measure of A Man" Martin Luther King.. The Very few Pages you'll never regret reading
Nakipataje
 
nilisoma vitabu viwili nikiwa mwaka wapili katika masomo yangu udsm.


na

hakika vitabu hivi vilinigenga sana. niliamua kuanza kujiandaa na ujasiliamali ili nikihitimu nijiajili.
vilifaulu kubadili matazamo wangu completely. nilihitimu masomo yangu mwaka 2013 hapo udsm. hadi leo sijarudi hata kuchua provion result za chuo kwa maana hata sijawahi kuomba kazi toka nihitimu. nilikutana na magumu sana katika shuguli zangu.
mwaka 2015 nikawa ugungo mataa nikakutana na kitabu kimoja kinaitwa richest man in babylon nikanunua
kilinijenga kwa kiwango ninamshukulu Mungu hadi sasa sioni company wala shilika la linaloweza nilipa mshahala kwa kiwango cha kukatisha kufuata ndoto yangu. japokuwa sasa bado sijafanikiwa kipesa ila kimutazamo nipo vizuri


nawaasa vijana wenzangu tusome vitabu mimi vimebadilsha mtazamo wangu kutokana na vitabu hivi.
 
Bora na mm upeo wangu wa kufiikiri uongezeke
 
Nakubaliana na wewe mkuu 100%
Nimesoma vitabu vya Robert kiyasoki jamaa kiufupi anaandika siyo siri baadhi ya vitabu ambavyo nimesoma vyake ni ;-
1.RICH DAD POOR DAD
2.RICH DAD CASHFLOW QUANDRANTS
3.RICH DAD CONSPIRANCY OF THE RICH
Ukiachana na robert kiyasoki
kuna baadhi ya vitabu ambavyo mpaka leo naendelea kurudia kuvisoma ni;-
1.CURRENCY TRADING FOR DUMMIES by Brian Dolan
2.Na vingine lukuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…