Book Review "In the Name of the President : Memoirs of a Jailed Journalist"

Namna Bora ya kuondokana na umaskini na biashara Gani halali kijana wa kitanzania afanye!!?

Kingeuza sana hicho kitabu kuliko hicho Cha kuhangaika na marehemu!
Andika wewe basi uuze sana, kwani umekatazwa?

Mtu kaandika kitabu chake, alichotaka yeye.

Hutaku, unataka aandike kitabu tofauti, unachotaka wewe.

Wewe ni mzembe, mvivu, mjinga au vyote kwa pamoja?
 
To be sure, there are a lot of controversial claims warranting more scrutiny and better evidence. From Magufuli turning up at his Vice President’s place in pyjamas in what was apparently a less than kosher advance to the untimely demise of Magufuli’s daughter Juliana due to HIV/AIDS infection, an infection whose blame Magufuli’s wife placed squarely on her husband, whom she reportedly called evil, in a way that left a lot to be desired and leaving many to ask, how was Magufuli responsible?
This paragraph left me wondering what kind of personality this man had behind the scene.

He real was a tyranny who ruled with impunity and was not answerable to anyone (the first shortcoming of our constitution). He was very cunning in so many ways pretending to sympathise with the 'have nots' while in reality he was very iniquitous.
 
Magufuli alikuwa na file la ugonjwa wa akili Mirembe.

Kina Dr. Diallo walishamuokota kaanguka anatoa mapovu nyumbani kwake Dodoma, akiwa Waziri hapo. Wakampeleka hospitali, hospitali wakasema huyu ana case Mirembe mpelekeni Mirembe.

Magufuli mwenyewe kashasema kwa kujigamba kuwa watu wasimchezee, yeye ana file Mirembe.

Mkapa alitukosea sana alipolazimisha Magufuli awe mgombea wa CCM na hatimaye rais.
 
Magufuli alikuwa na file la ugonjwa wa akili Mirembe.

Kina Dr. Diallo walishamuikota kaanguka anatoa mapovu nyumbani kwake Dodima, akiwa Waziri hapo. Wajamoeleka hospitali, hispitali wakasema huyu ana case Mirembe mpelekeni Mirembe.

Magufulu mwenyewe kashasema kwa akujigamba kuwa watu wasimchezee, yeye ana file Mirembe.

Mkapa alitukosea sana akipolazimisha Magufuli awe mgombea wa CCM na hatimaye rais.
Dah hii ni hatari sana. Hakuwa tofauti na Pol Pot au Idd Amin.
 
Umejuaje ni Muslim? Umejuaje ni communist? Kumnukuu Hegel na Karl Marx kufanya literary device kuonesha uhusiano wa Magufuli na Nyerere ni communism?

How dumb and prejudiced are you?

jina lake kassim ni islamic, hakuna mtu sane ambaye siye communist na anayeelewa communism ni nini na jinsi ilivyotesa watu dunia hii anaweza kumnukuu karl marx, ni sawa na mtu aanze kumnukuu adolf hitler kwangu mimi inaonyesha huyo ni mtu wa aina gani anayemnukuu adolf hitler, btw communists and marx’s ideologies killed more people than the nazis …
 
Kwani mtu akiitwa Kassim lazima awe muislamu?

Kuwa Muislamu maana yake nini? Unahakikishaje huyu ni Muislamum?

Tariq Aziz wa Saddam alikuwa Muislamu? General Omar Bradley wa Marekani alikuwa Muislamu.

Maprofesa wa falsafa, political science na uchumi wanawanukuu Hegel na Karl Marx kika siku katika shule za kiliberali na kibwanyenye za Marekani, nchi ambayo Ukomunisti ni kama tusi.

Ni wewe tu mshamba usiye na elimu unaona kutajwa Karl Marx na Hegel hatari.
 
Aliwapa show waliyoitaka.

Ujue hakuna uongo rahisi kumdanganya mtu kama uongo anaoutaka kuusikia.

Kwenye uongo huo, hata ukikosea kudanganya, yule unayemdanganya atakusaidia usahihishe uongo wako ili umdanganye vizuri zaidi.
Kiranga katika ubora wake. You have nailed it. Magufuli aliwaambia watanzania kitu walichotaka kukisikia kwenye masikio yao.
 
Kwani mtu akiitwa Kassim lazima awe muislamu?

Kuwa Muislamu maana yake nini? Unahakikishaje huyu ni Muislamum?

Tariq Aziz wa Saddam alikuwa Muislamu? General Omar Bradley wa Marekani alikuwa Muislamu.

Maprofesa wa falsafa, political science na uchumi wanawanukuu Hegel na Karl Marx kika siku katika shule za kiliberali na kibwanyenye za Marekani, nchi ambayo Ukomunisti ni kama tusi.

Ni wewe tu mshamba usiye na elimu unaona kutajwa Karl Marx na Hegel hatari.

wananukuu karl marx kuonya na ni negative, western Christian hawezi kumnukuu marx positively kama mfano mzuri hata siku moja, wananukuu kuionya jamii ya western isi fall under communism ambapo sasa hivi kuna hatari ya hilo kutokea hasa with the rise of communist china, kwanza communism ni anti religion ndio maana sielewi kwa nini muslims wanamkumbatia communism kiasi hicho …
 
Umeshakubali kwamba kusema mtu ni muislamu kwa sababu jina lake uliloliona mtandaoni ni Kassim ni ujinga?

Kwani hapo Hegel na Karl Marx wamenukuliwa wakihimiza Ukomunisti au wakisema historia hujirudia tu?

Kusema historia hujirudia ni Ukomunisti?

Inaonekana hupendi tu kusikia hayo majina bila kujali hata hoja inayoongelewa ni ipi.
 
He wasn't Joseph Magufuli's biological son, how does this help us as country really? Whose son wa JPM then?

What legacy is associated with Joseph Magufuli, as a country we adore most???!!
 
Kuna hoja kwamba familia ya John Pombe Magufuli, upande wa baba Mzee Joseph Magufuli, ilimkataa na kumtenga sana John Pombe Magufuli na kukataliwa huku, na kutengwa huko na familia inawezekana kulipelekea mtoto John Magufuli kujiona hathaminiwi, kuwa mtukutu aliyefanya fujo shuleni, akavunja vioo, akavuta bangi, akafukuzwa shule.

Hata alipokuja kuwa mtu mzima akawa mwalimu, watu alioishi naye wakamuona mtu anti social.

Hata kwenye maisha ya ndoa akawa ni mtu wa kuwapigapiga tu mkewe na watoto wake, mara ampe Mama Janet adhabu ya kusomba mchanga, mara ampige, mara amkate nywele kwa lazima kwa sababu hakuzipenda.

Hata alivyoambiwa agombee urais, wazo la kwanza lililomjia kichwani ni kusema Watanzania watalimia meno.

Alivyopata urais akawa ni mtu wa shiw za kibabe na kusema ivyo tu.

Kuna somo bapa kuwa msiwanyanyapae watoto na kuwatenga, hilo linaleta psychological problems na kusababisha matati,o mengi baadaye.

Hujaliona hilo somo?
 
Duh hichi kitabu !
 
Na hapo president kutaka kumuua ex president ni nani alitaka kumuua nani?
 
jina lake kassim ni islamic, hakuna mtu sane ambaye siye communist na anayeelewa communism ni nini na jinsi ilivyotesa watu dunia hii anaweza kumnukuu karl marx, ni sawa na mtu aanze kumnukuu adolf hitler kwangu mimi inaonyesha huyo ni mtu wa aina gani anayemnukuu adolf hitler, btw communists and marx’s ideologies killed more people than the nazis …
Je ubepari haujaua
 
Back
Top Bottom