Book Review "In the Name of the President : Memoirs of a Jailed Journalist"

Sio kweli unachokisema ubepari umeua watu wengi sana duniani kuliko hata huo ukuministi unaoulaumu
 
Ngonjera. Kamuulize MO kama yaliyoandikwa kuhusu yeye ni uongo. Zitto tayari kaverify ingawa karekebisha time-line.
Sasa Zito si takataka tu kama alivyo mwandishi wa kitabu
 
Itoshe kusema, Kabendera kakusanya yale yale ambayo yamekua yakisemwa na wale mafisadi na vibaraka wao waliotibuliwa mipango yao na JPM. Kitabu kimejaa Umbea tuu. Hakuna credible source hata moja. Inshort, kitabu hicho kawaandikia ma sponsor wake waliokua wanamtumia ela kipindi kile ili aandike taarifa za uongo na uchochezi. Ni kama ripoti ya kazi aliyokua akiifanya, kwa kipindi chote cha Utawala wa Magufuli kwa niaba ya Mabeberu. Mtu yeyote mwenye fikra huru, hawezi kukubaliana na kipeperushi hicho.

Kwa wale wote wanayempenda mama Tanzania, tuendelee kumuombea JPM apate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani.
 
Umekisoma?
 
Hatari na nusu.
 
Mohamed Said

Heshima yako mzee wangu.

Kuna kitabu kipya kaandika Eric Kabendera. Najua wewe mdau wa vitabu vya historia, hususan vya kuandikwa na Watanzania. Umekipata hiki?

Kinapatikana Amazon.com kama physical book na kwenye mtandao wa Amazon wa Kindle kama electronic book. Review yake iko juu hapo post ya kwanza.
 
"Upumbavu na ulofa" alisikika baba mmoja kwenye ufunguzi wa kampeni mwaka furani.

Naona upumbavu huo umeshaaza kurudi baada ya baba wa taifa kuuawa
 
Moja ya sifa ya kuwa Muislamu ni kuwa na ndoa halali kwa mujibu dini hiyo, Kasimu kapoteza sifa hiyo hivyo si ajabu kuwa na Imani na vitu na watu wa ajabu ajabu.
 
Lakini hapa unajadili hiyo hiyo hearsay kwani mambo yako mengi ya jufanya yamepotelea wapi sasa?
Hata hivyo watanzania wamepuuza collection yenu hiyo ya umbea. Bora tujadili siasa za Chadema na CCM na sio Uzushi ulioandikwa na mawakala wa Wakoloni Mamboleo. Kabendera na wewe mnafanya kazi aliyoifanya Chief Mangungo wa Msovero na Karl Peters wa Iliyokua Ujerumani ya Africa Mashariki.
 
Duh!
 
Watanzania wamepuuza umbea wakati wewe unaujadili hapa hujaweza kuupuuza?

Unaelewa kuwa kila unapo comment hapa unairudisha hii thread juu watu wengi zaidi waione na kuchangia, hivyo hata wewe mwenyewe unashiriki kukipa nafasi kitabu hiki kijulikane zaidi, hata kwa kusema Watanzania wamekipuuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…