Book Review "In the Name of the President : Memoirs of a Jailed Journalist"

Mkuu Kiranga, try to have mercy. You’re dealing with a cult following that’s still grieving the unfathomable loss of its messiah. Those guys are completely lost and incapable of any rational discourse as far as the late JPM is concerned.

The most you’re doing is rubbing salt & pepper in their suffering souls.
 
Nimekupuuza, wakala wa mabeberu.
 
Mimi sipendi contradiction tu.

Yani bila kujali kitabu kiko sawa au hakipo, bila kujali Magufuli alifanya vizuri au vibaya.

Kuja hapa kusema hiki kitabu ni umbea mtupu na Watanzania wamekidharau, wakati yeye mwenyewe kashindwa kukidharau na anaki promote bila kujua ni contradiction.

Ila akili ndogo hajui kuwa hata kwa kukiponda kitabu hivyo bado ana ki promote.
 
Wewe jua tu kuna watu hapa Magufuli hajadiliwi kwa maana ya kufanyiwa critique. Anasifiwa tu.

Ukileta critique yoyote kumhusu Magufuli inachukuliwa kama kufuru. Unaweza kumwagiwa matusi ya ovyo sana au wakikustahi ndio unaambiwa umeleta umbea. It’s no use trying to elicit a logical discussion on that subject from those folks.
 
Kuna watu wengine wanasoma wanajifunza hata kama hawa wanajitoa akili na kujufanya vichwangumu.

Mimi nimebishana na Gendaeka Alvin Plantinga mwenyewe, itakuwa hawa semi literate country bumpkins?
 
Wazee wa legasi naona mmesimamia ukucha
 
Mbona mi ni mtanzania na sijapuuza?

Acha uongo
 
Habari nduguzanguni wana wa Jamii forums. Aise nimemaliza kusoma kitabu cha IN THE NAME of the PRESIDENT. By Erick Kabendera: Kina habari nyingi za uhakika na fikirishi kuhusu mwendazake. Moja ya fikirishi ni kuhusu kifo cha mtoto wake wa like juliana. Inawzekana aliambukizwa ukimwi na baba yake. Hincho ndio kiwango cha uwendawazimu alicho kuwa nacho mwendazake. Ya pili ni kuwa wakati anagombea uraisi tiari Alisha achana na mke wake Janet ila kwasababu alihofia maisha yake ilibidi aendelee ku act kama mke wa raisi. Yaani hii inaonyesha ni kwa kiwango gani ccm imejaa wajinga kupita maelezo. Mtu mchafu na mgojwa wa akili anapewa nchi . Yaani maisha ya watanzania wote yanawekwa rehani ili tu ccm emiendelee kutawala.
 

Attachments

  • 17373845577856292612395464469301.jpg
    404.1 KB · Views: 5
Bado hujakipuuza, mpaka sasa unairudisha thread ya hiki kitabu ikae juu.

Waliokipuuza hawakuchangia hapa.
Hichi kitabu yafaa kiingizwe ktk mitaala yetu.Wanafunzi wote wakisome.
 
Hichi kitabu yafaa kiingizwe ktk mitaala yetu.Wanafunzi wote wakisome.
Hawawezi kuruhusu.

Kinapatikana Amazon.com na kwenye mfumo wa Kindle wa Amazon kama electronic book.
 
Soft copy inapatikana?
 
Kuna watu kwa asili hutafuta umashuhuri wa aina yoyote na kwa njia yoyote. Tabia hiyo hutokana na asili yao ikiwepo kabila zao au tabaka au tamaa kali tu ya kupata mali. Kabandera mwenye kusadikiwa na wengi kama mtoto wa wakimbizi toka Rwanda ni mtu wa aina hiyo.
Kitabu chake ni uongo mtupu dhidi ya kiongozi aliyependwa sana na watanzania wengi. Kabendera ameungana na wale waliyomchukia Magufuli kwa kuwazuia kuipora nchi na kuwadhulumu watanzania kutokana na tamaa ya kuhongwa na kupata mali awe tajiri. Kwa hakika Kabendera kwa kuandika uongo mkubwa dhidi ya Magufuli amekua ni adui yetu mkubwa tuliyompenda sana Magufuli. Akae akilijua hilo maishani kwake.
 
Umesoma kitabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…