BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

Wengine wote wasubiri mpaka Teja litakapoamua kuachia ngazi au rafiki FP atakapoamua kubwaga manyanga, sijui itakuwa mwaka gani!? labda 2055 lol!
mimi na teja hakuna kuachana maisha yetu yote. kwa kifupi sina mpango wa kupenda tena rafiki.....
 
Reactions: BAK
Kaona nini rafiki? lol! aku mwaya BAK huko wala hayuko msimsingizie bureee! :majani7:
hata mimi najua hauko huko rafiki, wewe unajua status yangu kwa sasa, lol!
namrusha roho tu huyo Erickb52 maana tuna story ndefu, lol!
hapa anasubiri kwa haaamuuuu nimfungulie moyo wangu.......
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Mhhhhh! :behindsofa:


mimi na teja hakuna kuachana maisha yetu yote. kwa kifupi sina mpango wa kupenda tena rafiki.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…