Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
sina uhakika kama anazijua tunguri rafiki....Naona unanitisha rafiki hahahahah lol!..... anaua kwa gobore, bistola au kwa waganga wa tunguli!? ili nijue najihami kivipi. Tunguli siziamini kabisa hivyo kama atafanya hivyo kupitia waganga wao basi mwambie ataula wa chuya lol! Ukishakuwa kwenye kapu la kusubiri ndio URIE TENA!!! Amuulize mwenzake aliyejiweka kwenye waiting list for 14 years, tangu binti alipokuwa kigori hadi sasa amekuwa mtu mzima lol!
sina uhakika kama anazijua tunguri rafiki....
unafikiri atakuwa na ugomvi na wewe rafiki? ataua ambaye yupo karibu naye....... tukose wote, lol!
umeona eeeh!Mhhhh! hiyo inatisha rafiki!!!
umeona eeeh!
nakutania rafiki yangu..... teja atauaje sasa! hiyo haiwezekani kabisa rafiki