Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Hapa nilipo naangalia upepo kwanza, nikiona aliye singo kama mimi napita naye.
mwahhhhh!! Sema neno moja, na figo zangu zifanye kazi tena!kuna mtu amekubishia my love?
Achana naye, si unajua tena....
"the problem is not you the problem is them understading me!"
:A S kiss::A S-heart-2::busumwahhhhh!! Sema neno moja, na figo zangu zifanye kazi tena!
haya wale wenye hasira juu yetu, haraka wakamate mop, wawahi ziwa tanganyika wakadeki ziwa, lol!:a s kiss::a s-heart-2::busu
Arushaone............... kwani nyie wazaramo mnatoa ng'ombe wangapi? tafadhali usiniulize tunapokea wangapi sawa?Nataka nimpose binti wa Mungi tu wala usitie shaka Lily Flower. Keep your finger crossed waweza kuwa mama mkwe wa kambo soon!
:becky::becky::becky::becky::A S 100::A S 100:haya wale wenye hasira juu yetu, haraka wakamate mop, wawahi ziwa tanganyika wakadeki ziwa, lol!
Mi ntatoka na nani jamani? Ngoja nicheki na wale waliobrekiwa mai heart zao..
If you think you can fit in,you are welcomed...
:gossip::becky::becky::becky::becky::A S 100::A S 100:
:welcome::gossip:
we nawe tatizo lako ni nukuu nyingi! Haya mambo hayana mfanano na wala si mfuatano!
:welcome:
:A S thumbs_up: ...............:lalala::mimba:
naunga mkono hojahii nimeikataa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......
mi naona hapa iwe one to one
eti wadada wenzangu mnasemaje?
kweli nimeamini mjini akili kijijini nguvuSasa utaangalia upepo mpka lini?? Ngoja ngoja utakuta mwana si wako....
mind you na mie nipo singo japo nina kigugumizi