Booklet za UE ni mali kumbe!

Mpigaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
384
Reaction score
42
Wale mliopitia vyuo vikuu mna uzoefu na hili.Wakati wanafunzi wanafanya UE,huandika majibu yao katika Examinaton Answers Booklets.Matokeo ya UE hutolewa bila wanafunzi kuona nini walichopata.Kumbe hizi Booklet zilizotumika huwa mali ghafi ya kutengeneze mifuko ya kuwekea bidhaa madukani.Leo nimekutana nayo moja hapa Dodoma.
 
recycling. Just good. Unless ulitia ndumba wakati wa pepa.
 
Acha majungu wewe,ya chuo gani?

Ni chuo kimoja huku Dodomja,sifahamu ni chuo kipi lakini kuna fani ya udaktari!HEBU SOMA HAYA MAJIBU🙁b)The basis of choosing A and O blood group for blood transfussion is that blood group A of the donor and the recepient blood group A will not have antigen and antibody reaction in the body of the recipient hence no cloting!
 
Uchunguzi zaidi unahitajika.

Hakuna uchunguzi hapo kama upo Dodoma,pita pale ktk Duka la Mfanyabiashara maarufu wa vinywaji ambaye pia anamiliki timu ya futboli!Ni mifuko ya kubebea lambalamba!PM hapa ili nikutumie sample kwa posta!
 

Hayo ni majibu ya maswali ya Biology Form IV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…