Wale mliopitia vyuo vikuu mna uzoefu na hili.Wakati wanafunzi wanafanya UE,huandika majibu yao katika Examinaton Answers Booklets.Matokeo ya UE hutolewa bila wanafunzi kuona nini walichopata.Kumbe hizi Booklet zilizotumika huwa mali ghafi ya kutengeneze mifuko ya kuwekea bidhaa madukani.Leo nimekutana nayo moja hapa Dodoma.