Books, 50 Students! Grade 10 learners wakipigania elimu CBC system iko sawa kweli?

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wadau, mambo si mazuri ground. Grade 10 learners across the country wanapitia serious textbook crisis just after first term. Imagine class ya wanafunzi 50 wanashare vitabu 9 pekee learning inakuwa struggle kabisa.
Teachers na principals wanakiri kuna shortage but wengi hawawezi speak openly juu ya fear ya victimisation. Serikali kupitia KICD inasema 98% ya books zilisambazwa, lakini reality kwa mashule mingi ni tofauti kabisa.
Sasa swali ni, data ni wrong ama system yenyewe ndio iko na gaps? Na hii CBC ambayo ililetwa kuboresha elimu, mbona sasa wazazi wanaonekana kulazimika kununua vitabu wenyewe?
As schools head into short break, pressure inaendelea kuongezeka. Je, learners wataingia second term bila materials? Ama wazazi ndio watabeba mzigo tena?
Wadau, hii ni failure ya system ama kuna mtu hafanyi kazi yake?
Source - citizen digital
 
Kwani RUTO inasemaje?
 
Back
Top Bottom