Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Huwa najiuliza mnawezaje kusoma vitabu kwa lengo la kujifurahisha tu, yaani vitabu kama vya hadithi ulivyo vipigia mfano ?
 
Oh hili nalo neno, kwamba ukiwa umesoma vitabu vingi utaona ujumbe ni ule ule isipokuwa tu, kila mtu ana namna ya kuuwasilisha.
 
Lazima tutaofautiane, sasa vitabu kama hivi huwezi kusoma kwa mzaha na kujifurahisha, lazima usome kwa kutafakari na kuwaza na kuwazua :
Naam natamani kuwa na mtazamo kama wako mkuu, napenda niwe na tabia imara ya kusoma kila siku kwa lengo la kujifunza. Nahisi kusoma ili kujiburudisha kunaweza kupelekea kusoma kwa pupa na hivyo kuacha vitu muhimu katika kitabu husika.
 
Uko sahihi kabisa. Tuko pamoja kaka.
 
Naomba nitafutie the Elements of investment
 
Paula Paul asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…