Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Attachments

Qur an
 
Kuna kitabu nimesoma,how to win a friend....nimeona kinafundisha jinsi ya kunyenyekea watu,hayo sio mambo yangu,kimenishinda

Mkuu.

Labda utapenda kusoma “Winning Through Intimidation” cha Robert Ringer.

Ni kweli kabisa kuwa katika uhalisia sio kila wakati “ the gentle approach” inafanya kazi kwa tija ingawa kwa uzoefu wangu binafsi huwa naipa kipaumbele.
 
MSAADA ME NAOMBA PDF YA VITABU VIFUATOVYO. 1.SERIES ZOTE za RICHDADPOORDAD(ROBERT KIYOSAKI). 2.PDF ZA BEST FOREX BOOKS 3.PDF ZA BEST PSYCHOLOGY BOOKS 4.PDF ZA BEST MOTIVATIONAL BOOKS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…