Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Kama unahitaji kitabu chochote kile except vya kibongo nicheki pm,bei ni buku tanoo hadi kumi
 
Mwenye ako na kitabu cha Emotional Intelligence by Daniel Goleman in pdf format please nakiomba. Natanguliza shukrani zangu za dhati.!!
mkuu ulifanikiwa kupata kitabu hiki? Kama bado nipe email address nikutumie
 
wasomaji wa vitabu wanapungua siku had siku
 
hawajui wanachokosa kwa mfano leo asubuhi nimemaliza kusoma kitabu cha Mary trump kuhusu mjomba wake yaani unasoma na kupata insight ya uhakika kuhusu Donlad Trump na ujinga wake,huo ni mfano tu lakini books zinaongeza knowledge sana
vijana wapo location na kupost @insta
 
kama unalicheka jina langu then go ahead and have fun,nauza vitabu haswa vile watu wanavyohangaika kuvipata,nafukunyua kwelikweli na kuhusu hilo jina ndo hivyo sasa njaa kali hatari
Sijacheka jina lako. Labda kutokuelewana.
 
Habari yako madam.

Nimefanikiwa kukipitia kitabu cha the magic.

Nimejifunza mambo mengi mazuri na nimeanza kuona changes zaidi baada ya kufuata formula zake mbalimbali.

Naomba kile cha the power
Na Mimi the Magic kilinisaidia kabisa kubadilisha maisha yangu. Kile kitendo Cha kuwa na moyo wa shukrani na kuhesabu baraka zangu kimenifanya nifungukiwe na mito ya baraka kwa kiwango kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…