Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Mwaenye PDF ya hiki Cha Ben Carson "Gifted hands" anisaidie wakuu please🙏🙏🙏
 
Thank you, at least that's how he interpreted it.
You see, sometimes the world is far less complicated than we imagine.

What's that word again, Nowonmai?
 
Hi shabiki.
Asante kwa hii application, nimeanza kuitumia ni nzuri sana.

Na nimeweza kusikiliza kitabu kimoja.
Maneno yanasomwa vizuri inayofanya rahisi kueleweka kwa msomaji, japokuwa kuna shida kwenye maneno kama "couldn't, didn't, don't, I'd, I'd've na mengine kama hayo ambapo yanasomeka kwa kutamkwa herufi moja moja(spelling), au mimi nimekosea mahali?

Tofauti na hapo ni app nzuri sana natamani ningeifahamu kabla.
 

Attachments

Anasoma na kiswahili
 
Was just told to read this juzi...nitakianza after am done with my current reading
 
Asante kwa hii feedback guess will try it too
 
Habari yako madam paula.

Sasa namalizia kitabu cha "the power"

Ni kitabu bora zaidi ya vile vingine japokuwa ia navyo vizuri.

Naomba nitafutie hicho cha " the hero"
Habari yangu ni nzuri Safuher.
Mambo?

Hongera sana.
 

Attachments

Poa kabisa madam.

Aisee nashkuru Mungu nimependa vitabu vya aina ya rhonda tokea nikiwa bado hivi kijana.

Nikisoma vitabu vya biashara naona sivutiwi sijui kwa nini,labda sijafocus ile totally.

Ila kiukweli nikushukuru sana paula.

The power anaielezea love vizuri sana na kuanza kupata mwanga wa mambo mazuri mazuri.

Kwa nini usibarikiwe madam paula ?
 
Mkuu Chige. mambo vipi ? ninakukumbusha kitabu cha a la cour de Mobutu
Mkuu Lucas,

I regret to say kwamba ile pisi nimeikosa! Nimejaribu kuisaka hadi archive.org ambayo ndiyo my last resort kwangu lakini nako nimekikosa! Making matters worse, hakuna hata Kindle version!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…