Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Nimejaribu kudowload hii ila sasa kwa.playstore ziko nyingu sijui ipi inafanya kazi maana hii yangu haina option ya kuweka pdf file anayejua zaid aweke jina kamili ya hyo foxit inavyosomeka playstore.
Mimi nilikuwa nayo lakini niliiondoa. Sikumbuki kama niliipata Playstore.
 
Shida ni kwenye tone tu hapo ndo nashindwa hizi audio books. Kisauti cha kirobotic kabisa hii ukitumia apps kama hio foxit kama una ela ya subscription kuna audibles playstore /appstore
Audiobooks zinakuwa zimesomwa na watu. Sasa wewe ukiwa uzinunua soma kwanza reviews. Mfano unataka Audiobook gani? Naweza kukuelekeza uchukue iliyosomwa na nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…