Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Adam Shatz : “The Rebel’s Clinic: The Revolutionary Lives of Frantz Fanon”
Frantz Fanon
View: https://m.youtube.com/watch?v=7eYNwTv6DTA
Hiki nimekisoma.
Fanon is fascinating.
Kimenifanya nikaenda kusoma "The Wretched of The Earth".
Fanon aliona mbali sana, yani kuna sehemu, hususan anapokuwa anaongelea migongano katika mapinduzi, anakuwa kama anachambua siasa za upinzani Tanzania leo.