Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Harakati zangu za kusoma autobiography ya Malcom X zimefika mwisho. Niseme tu alijitafuta na mwishowe akajipata. Ujumbe wake wa mwisho kwa dunia ni ubinadamu kwanza.

View attachment 2726836
Mkuu PDF yake basi tunaomba
M nnacho hicho mkuu🙏🙏
 

Attachments

Naomba mwenye soft copy ya hiki..

The impossible is possible by John mason.
 

Attachments

  • impossible is possible by John mason .jpeg
    58.7 KB · Views: 10

Riwaya tamu sana hii!

Falsafa, mikosi, sci-fi, kupigania uhuru na haki, yaani kwa kifupi utapenda.

Hizi ndio zile ambazo critics wanaita “unputdown able”.
 
Tutafasirie basi shekhee
 
Tafuta..kitabu cha Tim Butcher ....Chasing the Devil
 
Niluanza kusoma The subtle art of not giving a Fvck. Kilianza moto sana, kufika maeneo ya kati nikaona kinaanza repetetion hivi. Nilishindwa kukimaliza. Sijui mpaka mwisho kilikuwaje lakini naona kinaendana na mchoro.
Umeniakata maini 🤣🤣🤣 yani ndio nipo first chapter nakisoma.....
 
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…