Hii imechezwa movie pia? Ya mkaka mmoja alisingiziwa kesi akafungwa halafu akawa anafanya mipango ya kutoroka na rafiki yake inafeli mwisho wa siku inabidi rrafiki yake amsaidie atoroke mwenyewe yeye abaki?
Story ndio ipo kwenye hiki kitabu?.
Huyo jamaa ni flat earther fulani hivi.I think you missed a point.
Atheist sio wakana Mungu, it's just they don't believe in existence of God na sio Mungu tuu, hawaamini hata uwepo wa shetani.
Kwanini unaona hawana akili? Ni nini ulichokisoma humo kinadhibitisha uwepo wa Mungu au shetani?
Mimi sio Atheist, ila my Significant Other na familia yake yote ni Atheists.Na sioni tatizo.
hiki kitabu nacho kinanikeraga.Huyo jamaa ni flat earther fulani hivi.
Alishawahi kubishia number theory kwa kutumia division by zero.
He should call himself Zero.
Hopeless case.
Umekipenda, ndiyo maana umekipost.hiki kitabu nacho kinanikeraga.View attachment 1263634
Kama story ni ile ile nimeshawishika kukisoma.Sahihi kabisa, kitabu hiki movie nyingi zimechezwa kwa kutumia story hii ya jamaa.
Bahati nzuri pia ktk YouTube kuna movie zake kamili kwa wale watakaotaka kuliganisha kama director wa movie wametenda haki au la ktk kuiweka story hii katika big screen.
Papillon moja ya vitabu vinavyoweza kuteka hisia ya msomaji na ukawa mguu kwa mguu na mhusika mkuu ktk mazingira yote anayopitia. WanaJF wapenzi wa vitabu mnaweza kukipa muda mkakisoma na kujifunza mengi ya dunia hii.
Kutokuamini ni kuthibitisha au kukanusha ? Imani ina mambo matatu,jambo ambalo wengi hawalijui.I think you missed a point.
Atheist sio wakana Mungu, it's just they don't believe in existence of God na sio Mungu tuu, hawaamini hata uwepo wa shetani
Ulishakisoma au na wewe ndio umepata tangazo la bure?Umekipenda, ndiyo maana umekipost.
Kingekukera sana usingekifanyia matangazo ya bure.
Huwa mnapenda kusoma kwa mfumo gani?.
Hardcopy/cover or soft copy?
For me nasoma softcopy mostly inasaidia kutunza vitabu vingi..portability na kuwa flexible etc
Hardcopy labda tu nikose soft yake
iBooks is the best
kwa mnaotumia tablet na kindle zipoje?.sijawahi jaribu hizo
Kwanini unaona hawana akili? Ni nini ulichokisoma humo kinadhibitisha uwepo wa Mungu au shetani?
Kama huoni tatizo wewe ndio tatizo lenyewe.Mimi sio Atheist, ila my Significant Other na familia yake yote ni Atheists.Na sioni tatizo.
Na nimeendelea leo nimepata hayaKama story ni ile ile nimeshawishika kukisoma.
Wewe hata ukijamba ushuzi utataka kuuita tangazo la bure.Ulishakisoma au na wewe ndio umepata tangazo la bure?
Hakuna kitu utaambulia, labda usome kama gazetiKwahiyo Nyumisi unatuona sisi hatuwezi kusoma hizo pure medical science[emoji3][emoji3]
Anasahau kwamba he became a believer because he was convinced by others to do so. Na siku akitambua all the stories told by religion are obviously fiction, he'll learn not to believe in anything for which there is no evidence.Huyo jamaa ni flat earther fulani hivi.
Alishawahi kubishia number theory kwa kutumia division by zero.
He should call himself Zero.
Hopeless case.
Endelea kusoma vitabu utajifunza mengi.Kutokuamini ni kuthibitisha au kukanusha ? Imani ina mambo matatu,jambo ambalo wengi hawalijui.
Unapokataa kuamini uwepo wa Mungu basi umekataa yale yote yanayohusiana na Mungu na huko ndio kukanusha. Hapa wewe ndio umechanganya.
Naendelea...
Unajua ukashindwa kumshawishi mtu kitu Fulani kipo, hauwezi ona ana tatizo kwa kutokuamini,baada ya kumdhibitishia kipo na asipoamini hapo ndio unaweza ona anatatizo. Ndio maana Mimi sioni tatizo mtu kuw Atheist.Kama huoni tatizo wewe ndio tatizo lenyewe.
Tujikite kwenye mada. Uzi wako mzuri sana.
Every proof on existence of God are out there, including yourself. Do you think just a cell from nowhere inaweza kujitengeneza ikawa kiumbe mwenye akili kama binadamu au nyani abadilike na kuwa mtu. Ever you tried to imagine the solar system and the whole of the galaxies. Where are those powers tied, including the powers that restrict the ocean to overrun the dry land!Anasahau kwamba he became a believer because he was convinced by others to do so. Na siku akitambua all the stories told by religion are obviously fiction, he'll learn not to believe in anything for which there is no evidence.
My an Atheist friend once told me,"if you showed me the evidence, I would believe in the God". Truthfully ,There is literally no proof than what we call "myths ".
Kusema kweli kuna muda Mimi mwenyewe naona religions are just a way to brainwash mass of people. Acha tuone.
Kwanini unataka nisome ambavyo viko kinyume wakati ukweli uko wazi na misingi ya hao ambao wako kinyume tunaijua ?Endelea kusoma vitabu utajifunza mengi.
Pia usisome tuu ambavo vinatetea unachoamini, soma ambavyo pia vipo kinyume na unachoamini.