Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

This Librivox is fantastic LibriVox
Try this also and you can find some on YouTube.
 
Licha ya tatizo kuu la Dambisa la kuwa na ukinzani wa hoja zake, lakini ni kitabu kizuri juu ya uelekeo wa siasa za dunia juu ya kufa kwa liberal democracy. Nimependa pia hoja zake amezisupport kwa data za kutosha.

Ubora mwingine ni mapendekezo aliyoyatoa juu ya maboresho ya demokrasia duniani.

Ni kitabu kizuri kwa raia yeyote wa duniani mwenye kujali.
 
Aisee Dambisa anachimbua sana vitu. Anachimbua mno, hadi unafurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…