Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 745
UDSM hadi sasa kwenye akaunti zetu hatujawekewa hela za kujikimu , japo tayari wengine tulishasaini toka tarehe 5 March, 2014; na Ratiba ya Masomo kwa muhula wa pili imeanza tarehe 8 March, 2014....Sasa wanatarajia tumudu vipi maisha ya chuo haswa kwa wale tunaotegemea hela za mkopo?