Dear BUMU
Kokote ulpo jua I mic u.
Ckujua umhimu wako
mpaka hii leo. Kwel uktaka
jua umuhmu wa makalio
kalia kchwa. Ww ulnipa
kburi mjni, hta km miez
mi3 ulnitembelea mara 1
lakin hakika iltosha. Vocha
nlikua naweka 2000,
anayekopa 500
nashangaa. ugali nyama
choma, Chips yai, wali bla
azam ya barid hauend.
Leo haupo nakomaje?
Cpend shule lakin hakika
4u naweza nkarud
chuo,ugal wa kurumangia,
vdole vinaelekea kuota
sugu, maj ya bomba
kutoka ya kilmanjaro!
Kokote ulpo jua I mic u.
Ckujua umhimu wako
mpaka hii leo. Kwel uktaka
jua umuhmu wa makalio
kalia kchwa. Ww ulnipa
kburi mjni, hta km miez
mi3 ulnitembelea mara 1
lakin hakika iltosha. Vocha
nlikua naweka 2000,
anayekopa 500
nashangaa. ugali nyama
choma, Chips yai, wali bla
azam ya barid hauend.
Leo haupo nakomaje?
Cpend shule lakin hakika
4u naweza nkarud
chuo,ugal wa kurumangia,
vdole vinaelekea kuota
sugu, maj ya bomba
kutoka ya kilmanjaro!