Boom Boom!jamani

Boom Boom!jamani

TRIPPLE G

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
15
Reaction score
4
Wanajamvi hivi Boom linatoka liniii?hali tete vyuoni..kama kuna mwenye tetesi atupe
 
unasoma chuo gan ww? Kwa udsm tunaendelea kusaini,mda wowote mgodi unaweza ukatema kwa wale CRDB ila NBC na NMB Huwa wanachelewesha
 
Wale wa UDSM waliosaini mapema account zimeshasoma fresh.
 
udsm tayari, ndio raha ya kusoma chuo cha taifa, nimesaini ijumaa , jmos limeingia, laki 6.5, madogo wa A level kazen mje UDSM the home of the intellectual
 
wakuu naomba kuuliza,kwa wale ambao majina yao yametoka batch ya pili yatapelekwa vyuoni lini kwajili ya kusaini,wenye uzoefu au taarifa rasmi mlizozisikia,natanguliza shukurani za dhati!
 
kwetu majanga, hata dalili ya kusign hakuna kabisaa! na vihela vyenyew ndo vinaishia ivyo.. naona dalili ya mfulio hapa
 
udsm tayari, ndio raha ya kusoma chuo cha taifa, nimesaini ijumaa , jmos limeingia, laki 6.5, madogo wa A level kazen mje UDSM the home of the intellectual
dah 6.5 hopefuly sisi wa imtu kitakuja kitu kama cha saba kasoro hivi .. narisubiria kuliko maelezo watu tumepanga vyumba tunashindwa kuhamia sababu ya boom
 
Back
Top Bottom