Boom boom la pili sua account zajaa

Boom boom la pili sua account zajaa

yaani mi huwa nakushangaa sana ivi kuna aja kutangaza kila ktu kinachotokea huko. vp test bado hamjaanza kufanya?
 
Vizuri sana vijana wangu, nashukru mnaendelea vizuri, niliwaona mna-saign siku narudisha GOWN. Be proud to be at center of excellency.
 
Pumba kama hiz peleka kwa watoto wenzio FB
 
Boom la kwanza yeeees la pili mbana majanga 'Loanee is not registered' why SUA:A S-eek:
 
wa mwakaleli mna shida kweli.
Mawili,
1.kama sio mwaka wa kwanza.
2.si mwenyeji sana wa pesa.

hahahahahaaaaaa, umeona eh? Ila afadhali amesema, kuna dogo namdai kule, kila siku ni sound mpaka nachoka, saivi ni full force with facts.
 
Uko tayari kuja kulipa au ndo atoa umateumate tu
 
hahahahahaaaaaa, umeona eh? Ila afadhali amesema, kuna dogo namdai kule, kila siku ni sound mpaka nachoka, saivi ni full force with facts.

tena uwahi wakishaanza kupeleka marejesho..KAHUMBA,CHIPUKIZI, KINGTOM,D'JOB na kwingineko itakula upande wako mkuu.
 
Back
Top Bottom