Boom chamber

Boom chamber

Idd Omary

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
37
Wale tunaotegemea boom nimepostiwa jana na kachala mmoja wa mjengoni kwamba wengi wa wanaoendelea na masomo vyuoni watakosa mkopo kutokana na kutofautiana kwa maelezo yao ya awali na ya sasa.
First year wanatakiwa kuwa wavumilivu kwani bado udahili unaendelea na itachukua muda hadi watakapokuwa vyuoni. Ahsante!!
 
kid, on going students huwa hawajazi maelezo yeyote ili kuendelea kupata mkopo, wanachofanya ni ku comfirm kwenye acc zao za olas tu.
 
Mkuu hebu muulize wale wanaobadilisha vyuo/kozi mkopo watapata kweli?
 
Mkuu hebu muulize wale wanaobadilisha vyuo/kozi mkopo watapata kweli?

watapata...hakikisha umepeleka taarifa heslb kama umehama chuo,kwa koz kama ni chuo hichohicho..wasiliana na ofice za mikopo hapo chuo..
 
wale wanaondelea na mwaka wa masomo huwa hawajaz form kama ndo kwanza unaomba kwa mara ya kwanza bali huwa kuna zoez la kukofem kama unaendelea na masomo kwa hiyo hapo form haziwez kutofautiana
 
hi ninawasiwasi nayo.ni tetesi tu hi haina ukweli nazani.
 
Back
Top Bottom