Boom haliwatoshi wanafunzi wa elimu ya juu

Boom haliwatoshi wanafunzi wa elimu ya juu

Mimi mkopo sijapata,
Home wananipa 2550, lakini inanitosha sana, tena mpaka nahonga lile toto langu la kata...
 
Fedha inayotolewa na heslb kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwaajili ya chakula na malazi yaani meals and accomodation alimaarufu kama bumu haitoshelezi labda pengine kama ingekuwa ya meals tu lakini haitoshi tsh 7500 kwa siku ukilinganisha na gharama za maisha haitoshi matokeo yake ndio wasomi wabovu kvtokana na njaa mimi ningependekeza pesa hii kuongezwa hadi 12000 kwa siku ili niweze kupanga chumba mtaani nipate chakula na nauli

Pesa zitakuuwa nyapu wewe
 
Mimi mkopo sijapata,
Home wananipa 2550, lakini inanitosha sana, tena mpaka nahonga lile toto langu la kata...

Mwongo ---- wewe tena kuna mahali umesema unapata 100% na unaenda kuwaunga wenzio mkono........manina unakuwa mwongomwongo acha uxenge joohhh.....overrrrrr
 
Kwa maisha ya kati, si ya juu wala ya Chini .

MATUMIZI YA LAZIMA

1)Breakfast 800/= Baadhi ya Vyuo 500/= inatosha.
2)Lunch 1500/= Baadhi ya Vyuo 1000/= inatosha ila tunachukua average cost vyuo vyote.
3)Dinner 1500/=
4)Maji ya kunywa kilimanjaro 1.5 litre 1500/=
5)Room 1000/=
6)Usafiri To and fro 800/=

JUMLA 7100/=

MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA(Tujue kua Nyumbani hupati chochote(Watoto wa wakulima) hivyo unategemea hiyo pesa kwa kila kitu)

7)Mawasiliano 500/=
8)internet 500/= Hapa unajiunga na Cheka.
JUMLA 1000/=
JUMLA KUU 7100+1000=8100.
Hapo bado hujanunua Nguo,hujatoa sadaka kanisani,hujamsaidia mdogo wako nyumbani maana anajua upo Chuo kikuu Mnapewa Pesa,Hujatenga Nauli ya Kurudi Nyumbani wakati wa Rikizo,hujatoa nauli ya kwenda Town kupata mahtaji mawili matatu.
NOTE: Hata tukisema Pesa ya Loanboard ni kwa ajili ya Kukusaidia ukiwa Chuo Tu,Lakini kiuhalisia kwa Maisha ya Watanzania haya Matumizi niliyoyaanisha hapo juu kama Matumizi yasiyo ya Lazima ni Lazima utakabiliana nayo Maana Nyumbani Wanajua Chuo Mnapata Pesa,so ata ukiomba Hupewi na Wengine nyumbani hawana Msaada Kabisa Hata Sekondarai Ada ilikua ya Kuungaunga.

Umenena mkuu.....so far we ni jembe pekee katika thread nzima
 
nguo ya kuazima haisitiri mwili..kitu cha kukopa bhana kwanza masharti yake ukipate ni msoto.ukisoma kwa tabu utajua maisha nini.mimi mwakawa3amini sometime unapata tabu kwa matumizi ya kifahari.Na wengi tunapenda maisha ya kuiga.kwa watu wa Dar pesa haitoshi.Taratibu zifanyike angalau ziongezwe.
 
Naunga hoja hoja ..yan hautoshi kabisa maaana gharama za maisha zmepanda mnooo
 
Tatizo tamaa,wenzako hawajapata hata sent tano!!!!Mbona hamna upendo??
 
Tatizo tamaa,wenzako hawajapata hata sent tano!!!!Mbona hamna upendo??

Samahani,hivi hoja ya Msingi ni kujadili kama Pesa ya kujikimu Chuo(boom) inatosha au ni kujadili ambao hawakupata mkopo? au mie ndo sijaelewa kinachojadiliwa,msaada tafadhali!!!!!
 
ivi c 2naoishi bila boom na 2nakulaa 4000 kwa siku na 2naishi nyie mnaopea buku 7 ata aridhiki??hao ndo binadamu
 
Samahani,hivi hoja ya Msingi ni kujadili kama Pesa ya kujikimu Chuo(boom) inatosha au ni kujadili ambao hawakupata mkopo? au mie ndo sijaelewa kinachojadiliwa,msaada tafadhali!!!!!

hata mi nashangaa mkuu. Watu wanaacha main topic wanakuja na topic zao
 
Kadili upatavyo pato zaid ya jana, ndivyo matumizi yanavyoongezeka, hata wakiongeza kuwa 20,000/= matumizi nayo huongezeka, bado pesa haitotosha, lakn tujiulize, hivi kama pesa haitoshi toka ilivyoanza kutolewa had leo, je tunaishije sasa? basi na tuendelee kuishi hivyo, pesa iko katka balance, ikiongezeka ujue matumizi yapo juu, bado haitokidhi kama upendavyo wew na mimi
 
Back
Top Bottom