Fedha inayotolewa na heslb kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwaajili ya chakula na malazi yaani meals and accomodation alimaarufu kama bumu haitoshelezi labda pengine kama ingekuwa ya meals tu lakini haitoshi tsh 7500 kwa siku ukilinganisha na gharama za maisha haitoshi matokeo yake ndio wasomi wabovu kvtokana na njaa mimi ningependekeza pesa hii kuongezwa hadi 12000 kwa siku ili niweze kupanga chumba mtaani nipate chakula na nauli
Mimi mkopo sijapata,
Home wananipa 2550, lakini inanitosha sana, tena mpaka nahonga lile toto langu la kata...
Mimi mkopo sijapata,
Home wananipa 2550, lakini inanitosha sana, tena mpaka nahonga lile toto langu la kata...
Kwa maisha ya kati, si ya juu wala ya Chini .
MATUMIZI YA LAZIMA
1)Breakfast 800/= Baadhi ya Vyuo 500/= inatosha.
2)Lunch 1500/= Baadhi ya Vyuo 1000/= inatosha ila tunachukua average cost vyuo vyote.
3)Dinner 1500/=
4)Maji ya kunywa kilimanjaro 1.5 litre 1500/=
5)Room 1000/=
6)Usafiri To and fro 800/=
JUMLA 7100/=
MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA(Tujue kua Nyumbani hupati chochote(Watoto wa wakulima) hivyo unategemea hiyo pesa kwa kila kitu)
7)Mawasiliano 500/=
8)internet 500/= Hapa unajiunga na Cheka.
JUMLA 1000/=
JUMLA KUU 7100+1000=8100.
Hapo bado hujanunua Nguo,hujatoa sadaka kanisani,hujamsaidia mdogo wako nyumbani maana anajua upo Chuo kikuu Mnapewa Pesa,Hujatenga Nauli ya Kurudi Nyumbani wakati wa Rikizo,hujatoa nauli ya kwenda Town kupata mahtaji mawili matatu.
NOTE: Hata tukisema Pesa ya Loanboard ni kwa ajili ya Kukusaidia ukiwa Chuo Tu,Lakini kiuhalisia kwa Maisha ya Watanzania haya Matumizi niliyoyaanisha hapo juu kama Matumizi yasiyo ya Lazima ni Lazima utakabiliana nayo Maana Nyumbani Wanajua Chuo Mnapata Pesa,so ata ukiomba Hupewi na Wengine nyumbani hawana Msaada Kabisa Hata Sekondarai Ada ilikua ya Kuungaunga.
Umenena mkuu.....so far we ni jembe pekee katika thread nzima
Bado unanyea cho cha baba hujui chochote kuhusu lifeebu acha utani ww......viroba nyumban kwako co hapa.
Tatizo tamaa,wenzako hawajapata hata sent tano!!!!Mbona hamna upendo??
Umeropoka mkuu... so far wewe ni tahira pekee katika thread nzima...
Samahani,hivi hoja ya Msingi ni kujadili kama Pesa ya kujikimu Chuo(boom) inatosha au ni kujadili ambao hawakupata mkopo? au mie ndo sijaelewa kinachojadiliwa,msaada tafadhali!!!!!