Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo nahisi ni uongo kabisaje ni kweli boom litapandishwa mwakani kutoka sh 7500 mpaka sh 9750/= napenda kujua tafadhali
Mpaka mje mgome tena hivi hivi ng'o
ni kweli ndugu,iyo bado inatosha kwasasa by thn hizo fedha mtazirudishaSomeni vijana hiyo ela inatosha sana. Hamlipii maji wala umeme. Hivi kima cha chini cha serikali kwa muhitimu wa chuo kikuu mnakijua?
Wengi wakifika mtaani na kuanza shughuli ya kutafuta kazi ukumbuka maisha ya chuo. Tieni bidii katika elimu kwani bumu la uhakika liko mtaani iwapo utaonyesha jitihada pia.
je ni kweli boom litapandishwa mwakani kutoka sh 7500 mpaka sh 9750/= napenda kujua tafadhali