sishangai sana haya yanayosemwa na kujadiliwa humu kuhusu kukawia kwa meals na accommodation ya wanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT, sishangai sababu sisi vijana wa leo hatusumbui vichwa vyetu kufanya tafiti, sishangai sababu tumekuwa kikazi cha kukopy na kupest,sishangai sababu tu kizazi dhaifu na duni kufikiri, sishangai sababu tunataka maisha short cuts, sishangai sababu tumejaa ubinafsi na unafiki, sishangai sababu hatuna uwezo wa kujenga hoja bali kupayuka,kupiga kelele tu.......nani ana ushahidi kuwa cheque imewekwa fixed account?, nani an ushahidi kuwa jambo hili nirahisi kama fikra zake zilivyo lahisi, nani anadhani kukawia pesa hii tatizo ni chuo ama utawala wa chuo, au rais mataba?? ushirikiano gani saut na sautso hawana...? nani anaweza kusema hapa mataba anahudhulia vipindi vingapi kwa semiste? nani yuko tayari kumwongezea marks ikiwa hakuna utaratibu huo kichuo lakini bado anasafiri kushughulikia matatizo ya wanafunzi?? nanai kafanya utafiti na kubaini solution ya matatizo ni kugoma na si majadiliano? nani kapeleka hoja nono na ya kitafiti kuhusu jambo lolote kwa utawala akafukuzwa ama kukataliwa kibabe?
tutafakari kisomi tuache utamaduni wa kulalamika, tuwe na nidhau ya pesa pia, tuache taasisi ijiendeshe kitaasisi kwa kuweka taratibu kanuni na sheri zinazojenga nidhamu ya kitaasisi iliyo na vission na mission si ilimladi ni taasisi, fine ya laki is so reasonable and it ust be paid if one does not adhere to the rules....
tumshukuru kitima kwa jitihada zake za kuwatetea wanjonge wenye shida na ninyi msio na shida acheni kuchochea mitafaruku, hii si saut na kama mmetumwa kuivuruga basi count early failure, muungeni mataba kama rais wenu sababu naamini pengine msibaini sasa but kwa uzoefu wangu itawagharimu kupata kiongozi mwingine kariba ya mataba, he is good, frank, polite,straight,objective,understanding na strong