Boom latema Sokoine University of Agriculture.

Kerpp

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
58
Reaction score
10
Hatimaye wanachuo wa SUA walamba böoom' duh mwaka wa kwanza ni ful kucheka na ATM machine.
 
duh na long wikwnd ndio hiyooo...naona hapo four star wikend hii patakuwa nomaaaaa!!!
 
ni full kucheka ukiwa makin ukizubaa utakua full kulia!!!! NA UJUE HUO NI MKOPO NA SIO MSAADA!!!! NENDA PINDI SELAA...
 
DAH YAAANI WANGETOA MUCCoBS LEO, NINGEENDA KUKESHA LA-LIGA CLUB
 
Hatimaye wanachuo wa SUA walamba böoom' duh mwaka wa kwanza ni ful kucheka na ATM machine.

pumnafu kabisa badala ya kuwaza kusoma eti unachekelea boom limetoka ..hivi nyie mmerogwa au ni kitu gani
 
kjana wacha maneno yako wew! Hata ww kpnd uko mudogo ucpopata nguo ya ckkuu utalia mpk ukome! Wacha 2pate raha kusoma kupo'
 
Mje kaumba hapa leo kuna mizigo mipya
 
Mliokopa lipeni madeni sio luxury tu maana mkifulia mtashindwa kwa kwenda kukopa
 
ni full kucheka ukiwa makin ukizubaa utakua full kulia!!!! NA UJUE HUO NI MKOPO NA SIO MSAADA!!!! NENDA PINDI SELAA...

Achana na hii hela hamna jinsi tu, lakini wakati tulipoanza kuirudisha basi tuliona mioyo inaripuka, ukiangalia matumizi
tuliyoyafanya mbali na yale malengo wakati mwengine unajutia!!!
Nawashauri vijana wawe makini na boom na pia wazingatie masomo!!!
 
ahsante ndg kwa ushaur, maana boom kiukwel lnapagawsha.
 
Achana na hii hela hamna jinsi tu, lakini wakati tulipoanza kuirudisha basi tuliona mioyo inaripuka, ukiangalia matumizi
tuliyoyafanya mbali na yale malengo wakati mwengine unajutia!!!
Nawashauri vijana wawe makini na boom na pia wazingatie masomo!!!
thanx alot mkuu.......
 
Back
Top Bottom