Boom linalotolewa kujikimu vyuoni, linatosha na kukidhi mahitaji?

Ikumbukwe pia huo ni mkopo,mkikopeshwa nyingi msije mkalalama wakati mnakatwa deni kwenye mishahara yenu,kumbuka pia wafanyakazi wengi wanalalama mishahara wanayolipwa haitoshi.bodi ya mkopo wanakata asilimia 8 ya basic salary,,,,,,,,,,,,,,better mkikopeshwa kidogo sasa kwani mtalipa kidogo pia.
 
hili nalo neno la kuzingatia kwa kweli
 
Back
Top Bottom