Boom lini tena ?

Boom lini tena ?

beneli

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
86
Reaction score
7
mi mgen jaman ,boom awamu ya 4 huwa ni lini kwa wale kaka zangu na dada zangu walio tangulia, maana ni mwendowa chai kwa mikate duh !
 
Boom hutoka baada ya siku 60. Kwa hiyo, kwa kuwa semester 1 tulifungua tar 8 March, basi boom lingine linatarajiwa tar 8 May au tarehe za karibu na hapo.
 
Boom hutoka baada ya siku 60. Kwa hiyo, kwa kuwa semester 1 tulifungua tar 8 March, basi boom lingine linatarajiwa tar 8 May au tarehe za karibu na hapo.

thanx kaka ,nw najua namna ya ku budget..
 
Upo chuo gani?pale Mk mahindi ya kuchoma yananunuliwa kweli afu ci watu wanapenda Huawei na laptop na wakati Boom ni dogo
 
inamaana hela yote ile umamaliza ulikuwa unatumiaje?. ukipata tena jifunze kutumia fedha vizuri kazi kuhonga tu.
 
Nitamhongaje na wakati bebz ana boom lake
 
Back
Top Bottom