Boom maana yake nini?

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Hivi hili neno BOOM au sijui ni BUM lina maana gani? Na ni lugha gani? Na kwa nini wameamua kuita boom? Msaada Tafadhali!
 
Ktk uchumi kuna mambo makuu manne Recovery,Boom,Crisis na Depression .sasa Boom nikipindi ambacho uchumi uko vizuri kwa watu na hata makampuni,pia nikipindi ambacho mambo yako shwari ndio maana wanafunzi wakipewa hiyo ela wanaita boom
 
Ktk uchumi kuna mambo makuu manne Recovery,Boom,Crisis na Depression .sasa Boom nikipindi ambacho uchumi uko vizuri kwa watu na hata makampuni,pia nikipindi ambacho mambo yako shwari ndio maana wanafunzi wakipewa hiyo ela wanaita boom

Lets call it a day.
 
Ni fedha ambayo unaipata ukiwa hujaitolea jasho, maumivu, machungu, na bajeti yake wewe huijui, fedha hiyo inakufikia kwenye akaunti yako au Dirishani kwa bursor ukiwa upo chuoni, sasa matumizi yake ni kwa ajili ya meals, accomodation, stationary, research na mambo mengine ndo wakopeshaji wamelenga hivo, kinyume chake wewe mtumiaji basi unabadili matumizi yake unexpected hapo unanunua mziki mzito, simu kali, iphone, S5 etc, laptop, friji, disco club, vihepe kwa wingi na manunuzi hayo na bajeti zake huzifikirii, msimu wa boom lifestyle za wanachuo hubadilika gafla kupanda juu,, sasa inapoanza account kusoma isivyo mfumo wa maisha unabadilika, mahudhurio cafeteria za chuo yanaongezeka, R&B kwa wingi, container za vyakula nyingi to and from domitories, ujue pesa zinaisha.
;
Kwahiyo ule mfumo wa kupokea pesa na lifestyle/ maisha kubadilika kupanda, na kushuka baada ya pesa kuisha ndo life curve graph hiyo ikaitwa Boom
 
#rwenge Asante saana. Kwahiyo wanavyuo msim Wa mkopo wanauita boom haa! Kwahyo nisaidie kidogo mr#rwenge wapo sahii kuuita huu ni msim Wa boom? Kwani ninavyojua Mimi swala la mkopo kwa mkopaji kama kweli anahitaji kufika mbali sio kipindi cha kusema uchumi umekukalia vizuri coz sio hela ya faida ni ya mkopo. Sijui lakin pengine sipo saw a...
 

Mkuu nimependa sana ulivyodadavua vizuuri, ila samahani naomba nikukosoe kidogo juu ya kaneno flani ulikotumia. Hua ni STATIONERY sio STATIONARY. Jumapili njema mkuu.
 
#jerhy sasa hawa jamaa inaonyesha wanapata visent vingi sasa research gani hua wanafanya hasa kwenye upande Wa jinsi gani watapata ajira? Au hua wanafanya ile research ya mambo ya kimasomo? Any way ngoja niendelee na research Yang na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…