Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Hivi hili neno BOOM au sijui ni BUM lina maana gani? Na ni lugha gani? Na kwa nini wameamua kuita boom? Msaada Tafadhali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk uchumi kuna mambo makuu manne Recovery,Boom,Crisis na Depression .sasa Boom nikipindi ambacho uchumi uko vizuri kwa watu na hata makampuni,pia nikipindi ambacho mambo yako shwari ndio maana wanafunzi wakipewa hiyo ela wanaita boom
Ni fedha ambayo unaipata ukiwa hujaitolea jasho, maumivu, machungu, na bajeti yake wewe huijui, fedha hiyo inakufikia kwenye akaunti yako au Dirishani kwa bursor ukiwa upo chuoni, sasa matumizi yake ni kwa ajili ya meals, accomodation, stationary, research na mambo mengine ndo wakopeshaji wamelenga hivo, kinyume chake wewe mtumiaji basi unabadili matumizi yake unexpected hapo unanunua mziki mzito, simu kali, iphone, S5 etc, laptop, friji, disco club, vihepe kwa wingi na manunuzi hayo na bajeti zake huzifikirii, msimu wa boom lifestyle za wanachuo hubadilika gafla kupanda juu,, sasa inapoanza account kusoma isivyo mfumo wa maisha unabadilika, mahudhurio cafeteria za chuo yanaongezeka, R&B kwa wingi, container za vyakula nyingi to and from domitories, ujue pesa zinaisha.
;
Kwahiyo ule mfumo wa kupokea pesa na lifestyle/ maisha kubadilika kupanda, na kushuka baada ya pesa kuisha ndo life curve graph hiyo ikaitwa Boom