Boom muccobs 1st year

Boom muccobs 1st year

Apex

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
425
Reaction score
61
Jaman 1st year tayar boom limetema so kuweni makini na wadada wa moshi coz walisubiria kwa hamu sana boom hili wajitongozeshe kwenu,pls someni kwa aman mtumie pesa kama yalivyomalengo ya helsb,gud luck (jamsi,SAMITI nk)
 
usiogope,mpaka sasa lishaisha nimelipia madeni ya hostel na bili ya mle vibandani!
 
duu mkuu unatisha,usinambie kule vibandani wanakopesha?
 
Hamna noma apex tutalitumia fresh,hapa ni ukauzu mwanzo mwisho hakuna mazoea na wadada mwishi wao ni kwenye group discussion tu,kwingine kila mtu ale urefu wa kamba yake.
 
hamna noma apex tutalitumia fresh,hapa ni ukauzu mwanzo mwisho hakuna mazoea na wadada mwishi wao ni kwenye group discussion tu,kwingine kila mtu ale urefu wa kamba yake.
nakubaliana na wewe mkuu
 
hamna noma apex tutalitumia fresh,hapa ni ukauzu mwanzo mwisho hakuna mazoea na wadada mwishi wao ni kwenye group discussion tu,kwingine kila mtu ale urefu wa kamba yake.
yaani umpe demu hela kama umemuoa? Nani kasema? Kila mtu ajitegemee mapenzi yasiwe chanzo cha kurundikiana mizigo
 
kweli m4c noma yaani 1st yoote wametulia kama boom haijatema kisa walimu wanafukuza class mbya,
 
na bado watubane mpaka vipindi vya usiku viishe saa tatu usiku

kama sasa lecture zimebana mpaka watu wanasahau kwenda kusaini majina ya mkopo,je test zikianza kutangazwa itakuaje?
 
mbwebwe t hamna lolote nyie videm vyenu mnakaaga navo pale pius msekwa t.hen hku jf huvijui eh
 
DAH MKUU UNAUTHIBITISHO GANI? HALAFU WEWE SIO MWANAFUNZI WA MUCCoBS HAYA MAMBO UMEYAJUAJE?? TOA STORI ZAKO ZA KWENYE MAGENGE YA KAHAWA
 
Hamna noma apex tutalitumia fresh,hapa ni ukauzu mwanzo mwisho hakuna mazoea na wadada mwishi wao ni kwenye group discussion tu,kwingine kila mtu ale urefu wa kamba yake.

jemsi unasema kweli?? sio siku 2,,,3 tunakuona na mabinti unawapandisha hostel ulikopanga usiku wa saa 4,afu siku za mwisho unaanza kupiga deeshi, bora ukalipie kabisa kibanda namba 16, ili wakikumaliza uwe na uhakika wa kula
 
Back
Top Bottom